Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Taarifa za uchunguzi wetu zimebaini kwamba hakuna Mkandarasi hata mmoja atakayetoa hela kwa ajili ya ununuzi huo wa kinachoitwa chopa ya kampeni ya Rais, hakuna na hatakuja kuwepo.
Bali kipo kikundi cha watu kinachowatumia Wakandarasi hao ili kutakatisha pesa kwa lengo la kusaidia mambo yao.
Ifahamike kwamba lengo letu si kuzuia watu kumchangia Rais, wala hatuna uwezo wa kuzuia jambo hilo, Lakini tunataka wale wanaomchangia Rais wajitokeze hadharani wafahamike ili tuwapongeze kwa wema wao huo, hawana haja ya kujificha na kutumia Taasisi zingine
Tumeomba wadau wachunguze wenyewe badala ya Polisi kwa sababu HAKUNA POLISI YEYOTE WA TANZANIA ANAWEZA KUCHUNGUZA ZAWADI ANAZOPEWA RAIS HATA KAMA ZAWADI HIZO ZIMELETWA NA MUUZA UNGA.
Soma==>> Kuelekea 2025 - Wahandisi na Wakandarasi wamnunulia Rais Samia helkopta kwaajili ya Kampeni za Urais 2025 pamoja na mafuta ya Tsh. 100,000,000/-