Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #21
Hoja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hoja
Ndiyo maana hawakamatwi tenaTumerudi zama za Wauza Unga kufadhili uchaguzi wa ccm.
Noma sanaNchi inanuka rushwa tupu, walichokifanya ndiyo wanakifanya kwa Mawaziri, Wakuu wa Mikoa, Wilaya, Katibu wakuu, sijui maRAS, DEDs, CEOs n.k
Unashangaa mtu anateuliwa kuwa DED/DC ndani ya mwaka mmoja ana magorofa na viwanja kibaoNoma sana
Wauza unga hao au fisadi wenye kutaka kumuhonga mama na kutakatisha fedha. Walaaniwe kabisaTaarifa za uchunguzi wetu zimebaini kwamba hakuna Mkandarasi hata mmoja atakayetoa hela kwa ajili ya ununuzi huo wa kinachoitwa chopa ya kampeni ya Rais, hakuna na hatakuja kuwepo.
Bali kipo kikundi cha watu kinachowatumia Wakandarasi hao ili kutakatisha pesa kwa lengo la kusaidia mambo yao.
Ifahamike kwamba lengo letu si kuzuia watu kumchangia Rais, wala hatuna uwezo wa kuzuia jambo hilo, Lakini tunataka wale wanaomchangia Rais wajitokeze hadharani wafahamike ili tuwapongeze kwa wema wao huo, hawana haja ya kujificha na kutumia Taasisi zingine
Tumeomba wadau wachunguze wenyewe badala ya Polisi kwa sababu HAKUNA POLISI YEYOTE WA TANZANIA ANAWEZA KUCHUNGUZA ZAWADI ANAZOPEWA RAIS HATA KAMA ZAWADI HIZO ZIMELETWA NA MUUZA UNGA.
Soma==>> Kuelekea 2025 - Wahandisi na Wakandarasi wamnunulia Rais Samia helkopta kwaajili ya Kampeni za Urais 2025 pamoja na mafuta ya Tsh. 100,000,000/-
AmenWauza unga hao au fisadi wenye kutaka kumuhonga mama na kutakatisha fedha. Walaaniwe kabisa
Zile pesa ni za umma zimeibiwa na zinatakatishwa kupitia wahandisi au wakandarasi hewa. Hawatambuliwi na CRB wala ERB wahuni wale.Taarifa za uchunguzi wetu zimebaini kwamba hakuna Mkandarasi hata mmoja atakayetoa hela kwa ajili ya ununuzi huo wa kinachoitwa chopa ya kampeni ya Rais, hakuna na hatakuja kuwepo.
Bali kipo kikundi cha watu kinachowatumia Wakandarasi hao ili kutakatisha pesa kwa lengo la kusaidia mambo yao.
Ifahamike kwamba lengo letu si kuzuia watu kumchangia Rais, wala hatuna uwezo wa kuzuia jambo hilo, Lakini tunataka wale wanaomchangia Rais wajitokeze hadharani wafahamike ili tuwapongeze kwa wema wao huo, hawana haja ya kujificha na kutumia Taasisi zingine
Tumeomba wadau wachunguze wenyewe badala ya Polisi kwa sababu HAKUNA POLISI YEYOTE WA TANZANIA ANAWEZA KUCHUNGUZA ZAWADI ANAZOPEWA RAIS HATA KAMA ZAWADI HIZO ZIMELETWA NA MUUZA UNGA.
Soma==>> Kuelekea 2025 - Wahandisi na Wakandarasi wamnunulia Rais Samia helkopta kwaajili ya Kampeni za Urais 2025 pamoja na mafuta ya Tsh. 100,000,000/-
Wanatuona mabwege sanaZile pesa ni za umma zimeibiwa na zinatakatishwa kupitia wahandisi au wakandarasi hewa. Hawatambuliwi na CRB wala ERB wahuni wale.
ununuzi huo wa kinachoitwa chopa ya kampeni ya Rais, hakuna na hatakuja kuwepo.
Kama sikosei ni bilion 10Wametaja na thamani ya hiyo helicopter?
Haihusiani![]()
Fedha za Join the Chain zimeishia wapi?
Watakatishaji?
mhh
Swali la kibwege sana!Hebu ngoja, unatakatishaje pesa kwa kununua helicopter nje ya inchi. Hapo pesa si zimekwenda nje na helicopter imekuja tanzania?
Hebu nielezee mtu au kikundi cha watu kinatakatishaje pesa kwa kununua helicopter ya mamilioni ya pesa? [emoji848]
Tena hiyo ndege Dkt Samia asiipande kabisa itakuja kumuua, mi siwaamini kabisa hao wakandarasi. Haiwezekani kabisa eti wajitolee tena bil 10, huo ni mpango wa kumuua rais wetu. Atumie usafiri wa serikali kwenye kampeni.Taarifa za uchunguzi wetu zimebaini kwamba hakuna Mkandarasi hata mmoja atakayetoa hela kwa ajili ya ununuzi huo wa kinachoitwa chopa ya kampeni ya Rais, hakuna na hatakuja kuwepo.
Bali kipo kikundi cha watu kinachowatumia Wakandarasi hao ili kutakatisha pesa kwa lengo la kusaidia mambo yao.
Ifahamike kwamba lengo letu si kuzuia watu kumchangia Rais, wala hatuna uwezo wa kuzuia jambo hilo, Lakini tunataka wale wanaomchangia Rais wajitokeze hadharani wafahamike ili tuwapongeze kwa wema wao huo, hawana haja ya kujificha na kutumia Taasisi zingine
Tumeomba wadau wachunguze wenyewe badala ya Polisi kwa sababu HAKUNA POLISI YEYOTE WA TANZANIA ANAWEZA KUCHUNGUZA ZAWADI ANAZOPEWA RAIS HATA KAMA ZAWADI HIZO ZIMELETWA NA MUUZA UNGA.
Soma==>> Kuelekea 2025 - Wahandisi na Wakandarasi wamnunulia Rais Samia helkopta kwaajili ya Kampeni za Urais 2025 pamoja na mafuta ya Tsh. 100,000,000/-
Itakuwa huelewi maana ya dhana utakatishaji fedhaHebu ngoja, unatakatishaje pesa kwa kununua helicopter nje ya inchi. Hapo pesa si zimekwenda nje na helicopter imekuja tanzania?
Hebu nielezee mtu au kikundi cha watu kinatakatishaje pesa kwa kununua helicopter ya mamilioni ya pesa? [emoji848]

Usimuamshe aliyelalaItakuwa huelewi maana ya dhana utakatishaji fedha