Pre GE2025 Wadau Wachunguze Utakatishaji wa Pesa kwenye Ununuzi wa Helikopta ya Wakandarasi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Taarifa za uchunguzi wetu zimebaini kwamba hakuna Mkandarasi hata mmoja atakayetoa hela kwa ajili ya ununuzi huo wa kinachoitwa chopa ya kampeni ya Rais, hakuna na hatakuja kuwepo.

Bali kipo kikundi cha watu kinachowatumia Wakandarasi hao ili kutakatisha pesa kwa lengo la kusaidia mambo yao.

Ifahamike kwamba lengo letu si kuzuia watu kumchangia Rais, wala hatuna uwezo wa kuzuia jambo hilo, Lakini tunataka wale wanaomchangia Rais wajitokeze hadharani wafahamike ili tuwapongeze kwa wema wao huo, hawana haja ya kujificha na kutumia Taasisi zingine

Tumeomba wadau wachunguze wenyewe badala ya Polisi kwa sababu HAKUNA POLISI YEYOTE WA TANZANIA ANAWEZA KUCHUNGUZA ZAWADI ANAZOPEWA RAIS HATA KAMA ZAWADI HIZO ZIMELETWA NA MUUZA UNGA.

Soma==>>
Kuelekea 2025 - Wahandisi na Wakandarasi wamnunulia Rais Samia helkopta kwaajili ya Kampeni za Urais 2025 pamoja na mafuta ya Tsh. 100,000,000/-
Waliokuwa wanaongea ni wahandisi na wakandarasi wamesema kwa vinywa vyao ,sasa na wewe tafuta genge lako la mbowe mkafanye press conference mtuambie taarifa nyingine kutoka ufipa tutapokea.
 
Taarifa hii hapa tayari, nimeweka mimi
 
Taarifa za uchunguzi wetu zimebaini kwamba hakuna Mkandarasi hata mmoja atakayetoa hela kwa ajili ya ununuzi huo wa kinachoitwa chopa ya kampeni ya Rais, hakuna na hatakuja kuwepo.

Bali kipo kikundi cha watu kinachowatumia Wakandarasi hao ili kutakatisha pesa kwa lengo la kusaidia mambo yao.

Ifahamike kwamba lengo letu si kuzuia watu kumchangia Rais, wala hatuna uwezo wa kuzuia jambo hilo, Lakini tunataka wale wanaomchangia Rais wajitokeze hadharani wafahamike ili tuwapongeze kwa wema wao huo, hawana haja ya kujificha na kutumia Taasisi zingine

Tumeomba wadau wachunguze wenyewe badala ya Polisi kwa sababu HAKUNA POLISI YEYOTE WA TANZANIA ANAWEZA KUCHUNGUZA ZAWADI ANAZOPEWA RAIS HATA KAMA ZAWADI HIZO ZIMELETWA NA MUUZA UNGA.

Soma==>>
Kuelekea 2025 - Wahandisi na Wakandarasi wamnunulia Rais Samia helkopta kwaajili ya Kampeni za Urais 2025 pamoja na mafuta ya Tsh. 100,000,000/-
Vita kati ya wapewa tenda za ujenzi dhidi ya watanzania, hii ni rushwa ya aina yake.
 
Back
Top Bottom