Pre GE2025 Wadau Wachunguze Utakatishaji wa Pesa kwenye Ununuzi wa Helikopta ya Wakandarasi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hiyo chopper wamenunua CCM huko huko wamefanya kuingiza mfuko wa kushoto na kuhamishia pesa za walipa kodi mfuko wa kulia.
 
Nchi inanuka rushwa tupu, walichokifanya ndiyo wanakifanya kwa Mawaziri, Wakuu wa Mikoa, Wilaya, Katibu wakuu, sijui maRAS, DEDs, CEOs n.k
 
Wauza unga hao au fisadi wenye kutaka kumuhonga mama na kutakatisha fedha. Walaaniwe kabisa
 
Zile pesa ni za umma zimeibiwa na zinatakatishwa kupitia wahandisi au wakandarasi hewa. Hawatambuliwi na CRB wala ERB wahuni wale.
 
Hebu ngoja, unatakatishaje pesa kwa kununua helicopter nje ya inchi. Hapo pesa si zimekwenda nje na helicopter imekuja tanzania?

Hebu nielezee mtu au kikundi cha watu kinatakatishaje pesa kwa kununua helicopter ya mamilioni ya pesa? [emoji848]
 
Swali la kibwege sana!
 
Tena hiyo ndege Dkt Samia asiipande kabisa itakuja kumuua, mi siwaamini kabisa hao wakandarasi. Haiwezekani kabisa eti wajitolee tena bil 10, huo ni mpango wa kumuua rais wetu. Atumie usafiri wa serikali kwenye kampeni.
 
Hebu ngoja, unatakatishaje pesa kwa kununua helicopter nje ya inchi. Hapo pesa si zimekwenda nje na helicopter imekuja tanzania?

Hebu nielezee mtu au kikundi cha watu kinatakatishaje pesa kwa kununua helicopter ya mamilioni ya pesa? [emoji848]
Itakuwa huelewi maana ya dhana utakatishaji fedha
 
Hivi hiyo Chopa ni Model gani na bei gani

We are experts in connecting sellers of helicopters with enthusiastic buyers, so that everyone gets what they want with no hassle. What is usually a nightmare becomes a seamless and stress-free process, with high-quality fully-inspected helicopters delivered to buyers via our professional ferry service.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…