Wazee wakupinga kila kitu mpo kumbe.Uharibifu umezidi kila wamu wanajiamulia tu kuibomoa elimu
Walinichosha walipoweka hesabu kuwa ya ana ana dooo!Uharibifu umezidi kila wamu wanajiamulia tu kuibomoa elimu
Haya ndio maendeleo, ila tulipaswa tuwe kama US, 8-4-4Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Omary Kipanga, amesema kuwa katika sera mpya inayotarajiwa kuzinduliwa hapo baadaye elimu ya msingi itakomea darasa la 6.
Kauli hiyo ameisema hii leo Oktoba 20, 2022, na kuongeza kwamba sera mpya ya elimu itakapozinduliwa hakutakuwa na mtihani wa mwisho wa elimu ya msingi na kwamba mtihani utakuwa ni wa kidato cha nne tu, huku akisema mwanafunzi akianza kidato cha kwanza atakuwa tayari ameshajiweka kwenye mchepuo maalum hadi kidato cha nne.
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Omary Kipanga amesema kuwa serikali inatazamia kuzindua sera mpya ya elimu kufikia mwezi Desemba, 2022 ili kuleta mabadiliko makubwa kwenye sekta ya elimu na kwamba mabadiliko yataanzia elimu ya msingi.
wazee wakupinga kila kitu mpo kumbe
What is the Advantage of this education system compared to the current one we have?Haya ndio maendeleo, ila tulipaswa tuwe kama US, 8-4-4 .
P
Na wazee wa kukubali na kusifia kila kitu mpo kumbe?wazee wakupinga kila kitu mpo kumbe
kwa hiyo watoto wetu watamaliza elimu ya msingi wakiwa na miaka 11. Maana wengi wanaanza la kwanza na 5 yrs.Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Omary Kipanga, amesema kuwa katika sera mpya inayotarajiwa kuzinduliwa hapo baadaye elimu ya msingi itakomea darasa la 6.
Kauli hiyo ameisema hii leo Oktoba 20, 2022, na kuongeza kwamba sera mpya ya elimu itakapozinduliwa hakutakuwa na mtihani wa mwisho wa elimu ya msingi na kwamba mtihani utakuwa ni wa kidato cha nne tu, huku akisema mwanafunzi akianza kidato cha kwanza atakuwa tayari ameshajiweka kwenye mchepuo maalum hadi kidato cha nne.
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Omary Kipanga amesema kuwa serikali inatazamia kuzindua sera mpya ya elimu kufikia mwezi Desemba, 2022 ili kuleta mabadiliko makubwa kwenye sekta ya elimu na kwamba mabadiliko yataanzia elimu ya msingi.
Hebu tuelezee mabadiriko hayo yanaibomoaje Elimu.Uharibifu umezidi kila awamu wanajiamulia tu kuibomoa elimu
UhandishiWhat is the Advantage of this education system compared over the current one we have.
By the way:
Pascal Leo tuongee kirafiki maana huwa nakubomu Sana.
1. Unaonaje video clips za Ansbert Ngurumo, zinaonesha weledi wa uhandishi wa habari of the highest caliber ever au Ni sawa na makala zako?
2. Unampa credit gani kwa maswali yake magumu? (Maswali magumu)
Wakiamua hivyo basi na watoto wao warudi shule za umma.Yaleyale ya physics with chemistry. Elimu ya watoto inageuzwa jambo la majaribio, mtoto wa kidato cha kwanza anaweza vipi kuchagua mchepuo maalamu?? Wakati hata uwezo wake kwenye masomo hayo haujui.
Soon watakuja na upuuzi wao wa kiswahili iwe lugha ya kufundishia.