Wadau wapendekeza Elimu ya Msingi kuishia darasa la 6

Wadau wapendekeza Elimu ya Msingi kuishia darasa la 6

Haya ndio maendeleo, ila tulipaswa tuwe kama US, 8-4-4 .
Primary miaka 4
Mtoto anaanza la kwanza akiwa na miaka 4 na kumaliza elementary akiwa 12 anakwenda sekondari at 13 years for 4 years na kumaliza at 16
Anaingia college at 17 years for 4 years na degree zao ni masters!.

US mtu haruhusiwi kusomea sheria kama hana degree nyingine, hivyo kule kwenye sheria, sciences na udakitari wa binadamu, hakuna kilaza atapenya!. Sio hapa vilaza wanakimbilia LL.B na kupewa degree za michongo!, kufika LST wana stopishwa basi ni kelele mwanzo mwisho.

Kule hawana A level!.

P.
Actually professions kama udaktari, na ualimu zilipaswa kuwa selective sana. Lakini sidhani kama wana mpango wa kufanya ualimu kuwa na thamani hivyo.
 
Hii itakuwa UK system
6 Years Primary
4 Years Secondary(GCSE)
2 Years A Level or College
3 Years University

Lakini mtoto anatakiwa aanze darasa la kwanza akiwa na miaka mitano 5 , mpaka anamaliza University asizidi miaka 21....
Kwetu Mtoto anaanza na miaka 6-7! Mitano (5) ni kwa hizi shule za English Medium hapo uwe umerukishwa darasa, maana unasoma chekechea kwa miaka 3!
 
Vyuo vya Ufundi vinatakiwa kuwa na route ya kwenda University within 2 - 3 years.
Kwa UK, kwa mwanafubzi aliyepita vyuo vya ufundi, huwa wanakuwa wakali mno kwenye vitu kama CAD, Programming and Computing, na project zao za kumaliza chuo huwa zinakuwa za hali ya juu sana.
 
Ni muda Sasa serikali kukubali mpango wa kuifanya lugha ya kiingereza kuwa lugha rasmi ya kufundishia kuanzia shule ya msingi.
Hili swala ni muhimu sana. Fulsa nyingi sana vijana wanapishana nazo kwa sababu ya kutozungumza Lugha ya Kiingereza.
Serikali ikifanikiwa kwenye hili, miaka kumi ijayo vijana wengi watakua wamejiajir kwenye sekta rasmi na zisizo rasmi nyingi.
 
Naomba Kujua,Sijaelewa,
Mtoto akishafika Darasa La 6 anakwendaje Form-1?
Sababu Nimesoma Kuwa Hakutakiwa na Mitihani Shule ya Msingi,Kutakuwa tuu na Mtihani wa form 4!
Sasa Mtoto akimaliza Darasa la 6 Watajiunga Vipi na Sekondary,Na Sekondary Maalum Pia?
Then Atafanya Mtihani form 4 na Kwenda Form 5!
 
Ni muda Sasa serikali kukubali mpango wa kuifanya lugha ya kiingereza kuwa lugha rasmi ya kufundishia kuanzia shule ya msingi.
wazo zuri ila kwa kiingereza kuwa lugha rasmi ya kufundishia bado sana.

ili kiingereza kiwe lugha ya kufundishia tujiulize je tunao ao walimu wa kutosha ukitazm kuna walim kiingerez hawakijui vzr .

kwang me kiingereza liwe somo la kujifunzia kiswahili iwe lugha ya kufundishia.
 
Naomba Kujua,Sijaelewa,
Mtoto akishafika Darasa La 6 anakwendaje Form-1?
Sababu Nimesoma Kuwa Hakutakiwa na Mitihani Shule ya Msingi,Kutakuwa tuu na Mtihani wa form 4!
Sasa Mtoto akimaliza Darasa la 6 Watajiunga Vipi na Sekondary,Na Sekondary Maalum Pia?
Then Atafanya Mtihani form 4 na Kwenda Form 5!
Kwani aliendaje kutoka la Pili kwenda la tatu mkuu mbona unafanya maisha kuwa magumu
 
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Omary Kipanga, amesema kuwa katika sera mpya inayotarajiwa kuzinduliwa hapo baadaye elimu ya msingi itakomea darasa la 6.

Kauli hiyo ameisema hii leo Oktoba 20, 2022, na kuongeza kwamba sera mpya ya elimu itakapozinduliwa hakutakuwa na mtihani wa mwisho wa elimu ya msingi na kwamba mtihani utakuwa ni wa kidato cha nne tu, huku akisema mwanafunzi akianza kidato cha kwanza atakuwa tayari ameshajiweka kwenye mchepuo maalum hadi kidato cha nne.

Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Omary Kipanga amesema kuwa serikali inatazamia kuzindua sera mpya ya elimu kufikia mwezi Desemba, 2022 ili kuleta mabadiliko makubwa kwenye sekta ya elimu na kwamba mabadiliko yataanzia elimu ya msingi.
Hizi sera ambazo kila waziri akija anakuja kivuake ni "supply driven" ndiyo hizi ambazo hata wadau muhimu huwezi kusikia wakishirikishwa katika kuziandaa. Sera nzuri ni lazima ziwe "demand driven" kwa kuwa wadau muhimu hutambua "missing gaps" zilizopo katika mfumo wa elimu uliopo hivi sasa.

Ili tupate sera nzuri ya elimu hapa nchini, ni vyema kushirikisha wadau muhimu kama vile wataalamu, watafiti na wanataaluma kutoka fani mbalimbali ili kuweka vigezo vizuri vya kuzingatia wakati wa ufundishaji, wakufunzi, walimu, wazazi, walezi, n.k. ili kupitia katika majukwaa yao maoni muhimu yaweze kukusanywa na kufanyiwa kazi kabla ya kuiandaa sera husika ya elimu.

Serikali isiishi kwa "trial & error" bali ifanye tafiti nyingi na za uhakika ili iweze kuthibitisha uamuzi wake. Mzee Mwinyi aliwahi kugusia kuhusu sifa ya mtu kuwa "kichwa cha mwendawazimu"
 
Haya ndio maendeleo, ila tulipaswa tuwe kama US, 8-4-4 .
Primary miaka 4
Mtoto anaanza la kwanza akiwa na miaka 4 na kumaliza elementary akiwa 12 anakwenda sekondari at 13 years for 4 years na kumaliza at 16
Anaingia college at 17 years for 4 years na degree zao ni masters!.

US mtu haruhusiwi kusomea sheria kama hana degree nyingine, hivyo kule kwenye sheria, sciences na udakitari wa binadamu, hakuna kilaza atapenya!. Sio hapa vilaza wanakimbilia LL.B na kupewa degree za michongo!, kufika LST wana stopishwa basi ni kelele mwanzo mwisho.

Kule hawana A level!.

P.

Yaani wale wanafunzi wa LST tunaolewa nao mawasiliano park masaa 24 , halafu tunagombea mbususu za riverside 24/7 ndio wafaulu uwakili? Saa nyingine wakufunzi wanaonewa tu, Sheria ni Noble proffessional ambayo inatakiwa mtu awe deep kwenye mambo mbalimbali, ikiwamo biashara, teknolojia, uhandisi, ndio maana wanasheria wa nje wako vizuri sisi wetu ni ujanjaujanja tu akishataja mara criminal mara rule hii basi wanaona tayari na kureffer case mbili tatu, inasikitisha sana
 
Haya ndio maendeleo, ila tulipaswa tuwe kama US, 8-4-4 .
Primary miaka 4
Mtoto anaanza la kwanza akiwa na miaka 4 na kumaliza elementary akiwa 12 anakwenda sekondari at 13 years for 4 years na kumaliza at 16
Anaingia college at 17 years for 4 years na degree zao ni masters!.

US mtu haruhusiwi kusomea sheria kama hana degree nyingine, hivyo kule kwenye sheria, sciences na udakitari wa binadamu, hakuna kilaza atapenya!. Sio hapa vilaza wanakimbilia LL.B na kupewa degree za michongo!, kufika LST wana stopishwa basi ni kelele mwanzo mwisho.

Kule hawana A level!.

P.

la msingi kama Mwandishi nguli na mbobezi ni vyema sasa ukaanzisha harakati za kuhakikisha elimu ya Tanzania inakuwa ni kiingereza msingi mpaka chuo kikuu au kiswahili mpaka chuo kikuu, tusimamie kimoja katika hivyo na kuwekeza huko.
 
Back
Top Bottom