Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Wadau wengi kwenye Sherehe za Kuzima Mwenge wameshangazwa na Walioitwa Bodaboda kujitokeza hadharani kwa kile kilichotajwa kama kumshukuru Rais.
Utata umekuja baada ya Maofisa hao wa Usafirishaji kushindwa kusema wanamshukuru Rais kwa jambo lipi, Yaani wanashukuru bila hata kujua alichowafanyia!
Kushukuru ni jambo Jema na ni Uungwana, lakini kushukuru kwa Mambo yasiyofahamika inashangaza.
Bila shaka hii ni Aina Mpya kabisa ya shukrani Duniani.