Pre GE2025 Wadau washangazwa na Boda boda Mwanza kumshukuru Rais Samia katika Jambo lisilojulikana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wadau wengi kwenye Sherehe za Kuzima Mwenge wameshangazwa na Walioitwa Bodaboda kujitokeza hadharani kwa kile kilichotajwa kama kumshukuru Rais.

Utata umekuja baada ya Maofisa hao wa Usafirishaji kushindwa kusema wanamshukuru Rais kwa jambo lipi, Yaani wanashukuru bila hata kujua alichowafanyia!

Kushukuru ni jambo Jema na ni Uungwana, lakini kushukuru kwa Mambo yasiyofahamika inashangaza.

Bila shaka hii ni Aina Mpya kabisa ya shukrani Duniani.

View attachment 3124948
Huo ndio ulozi wa CCM lakini ni uzwazwa wa watanzania pia.
 
Mimi binafsi nina bodaboda 15 zinapeleka watu maeneo ambayo daladala wala bajaj haziendi sababu hakuna barabara

.mchawi wewe kwa hiyo unataka watu watembee kwa miguu kwenda eneo daladala au bajaji haziendi? Una pepo la mateso limekuvaa la kutaka binadamu wengine wateseke pepo mkubwa wewe mwana wa Ibilisi mlaaniwa
Ona hili hivi mijitu ya jamii forum haiwezi kumaliza siku haijadanganya kama hili aisee ni kituko🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wadau wengi kwenye Sherehe za Kuzima Mwenge wameshangazwa na Walioitwa Bodaboda kujitokeza hadharani kwa kile kilichotajwa kama kumshukuru Rais.

Utata umekuja baada ya Maofisa hao wa Usafirishaji kushindwa kusema wanamshukuru Rais kwa jambo lipi, Yaani wanashukuru bila hata kujua alichowafanyia!

Kushukuru ni jambo Jema na ni Uungwana, lakini kushukuru kwa Mambo yasiyofahamika inashangaza.

Bila shaka hii ni Aina Mpya kabisa ya shukrani Duniani.

View attachment 3124948
vip chadema wamejiskia vibaya sana eeh gentleman? :pedroP:

shukrani za bodaboda kwa kipenz chao Dr.,Samia Suluhu Hassan, zimewachefua sanaeee ndrugo zango chadema?:pedroP:
 
Wadau wengi kwenye Sherehe za Kuzima Mwenge wameshangazwa na Walioitwa Bodaboda kujitokeza hadharani kwa kile kilichotajwa kama kumshukuru Rais.

Utata umekuja baada ya Maofisa hao wa Usafirishaji kushindwa kusema wanamshukuru Rais kwa jambo lipi, Yaani wanashukuru bila hata kujua alichowafanyia!

Kushukuru ni jambo Jema na ni Uungwana, lakini kushukuru kwa Mambo yasiyofahamika inashangaza.

Bila shaka hii ni Aina Mpya kabisa ya shukrani Duniani.

View attachment 3124948
Mkuu
Unapoona kiwango cha upumbavu kinazidi SGR ujue anguko halizuiliki
 
Wadau wengi kwenye Sherehe za Kuzima Mwenge wameshangazwa na Walioitwa Bodaboda kujitokeza hadharani kwa kile kilichotajwa kama kumshukuru Rais.

Utata umekuja baada ya Maofisa hao wa Usafirishaji kushindwa kusema wanamshukuru Rais kwa jambo lipi, Yaani wanashukuru bila hata kujua alichowafanyia!

Kushukuru ni jambo Jema na ni Uungwana, lakini kushukuru kwa Mambo yasiyofahamika inashangaza.

Bila shaka hii ni Aina Mpya kabisa ya shukrani Duniani.

View attachment 3124948
Mbona unateseka sana kwa issue ndogo ndogo kama hizo. Samia ni president mpaka 2030.
 
Wadau wengi kwenye Sherehe za Kuzima Mwenge wameshangazwa na Walioitwa Bodaboda kujitokeza hadharani kwa kile kilichotajwa kama kumshukuru Rais.

Utata umekuja baada ya Maofisa hao wa Usafirishaji kushindwa kusema wanamshukuru Rais kwa jambo lipi, Yaani wanashukuru bila hata kujua alichowafanyia!

Kushukuru ni jambo Jema na ni Uungwana, lakini kushukuru kwa Mambo yasiyofahamika inashangaza.

Bila shaka hii ni Aina Mpya kabisa ya shukrani Duniani.

View attachment 3124948
Hao jamii ya mfalme Zumaridi wapowapo tu hawajui kwa nini wanamshukuru. Akili za zumaridi.
 
Siwaamini Chadema hawa waseme nini tena.

Kitendo cha kumtelekeza mwenyekiti wao kuandamana peke yake na wao kubakia nyuma ya keyboard ni cha kusikitisha mno.
 
Back
Top Bottom