Pre GE2025 Wadau washangazwa na Boda boda Mwanza kumshukuru Rais Samia katika Jambo lisilojulikana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huo ndio ulozi wa CCM lakini ni uzwazwa wa watanzania pia.
 
Ona hili hivi mijitu ya jamii forum haiwezi kumaliza siku haijadanganya kama hili aisee ni kituko🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
vip chadema wamejiskia vibaya sana eeh gentleman?

shukrani za bodaboda kwa kipenz chao Dr.,Samia Suluhu Hassan, zimewachefua sanaeee ndrugo zango chadema?
 
Mkuu
Unapoona kiwango cha upumbavu kinazidi SGR ujue anguko halizuiliki
 
Mbona unateseka sana kwa issue ndogo ndogo kama hizo. Samia ni president mpaka 2030.
 
Hao jamii ya mfalme Zumaridi wapowapo tu hawajui kwa nini wanamshukuru. Akili za zumaridi.
 
Siwaamini Chadema hawa waseme nini tena.

Kitendo cha kumtelekeza mwenyekiti wao kuandamana peke yake na wao kubakia nyuma ya keyboard ni cha kusikitisha mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…