Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Oct 14, 2024 Thread starter #41 Stroke said: Siwaamini Chadema hawa waseme nini tena. Kitendo cha kumtelekeza mwenyekiti wao kuandamana peke yake na wao kubakia nyuma ya keyboard ni cha kusikitisha mno. Click to expand... Basi waamini wanaoshukuru kwa kuwezeshwa kupumua
Stroke said: Siwaamini Chadema hawa waseme nini tena. Kitendo cha kumtelekeza mwenyekiti wao kuandamana peke yake na wao kubakia nyuma ya keyboard ni cha kusikitisha mno. Click to expand... Basi waamini wanaoshukuru kwa kuwezeshwa kupumua
zerominus10 JF-Expert Member Joined Aug 25, 2022 Posts 8,142 Reaction score 13,721 Oct 14, 2024 #42 Moisemusajiografii said: Vimbwanga vya kitoto.Lakini,kuna pikipiki wamepewa siku si nyingi zenye picha ya Samia.Yawezekana hiyo "wabhejha" ilikuwa sababu ya hiyo au unafiki tu. Click to expand... Hizo zipo kibao sio pikipiki tu mpaka Bajaj zimejaa kibao wanakopeshwa bila riba kwa masharti nafuu ya kutofuta rangi wala kuondoa picha ya Samia
Moisemusajiografii said: Vimbwanga vya kitoto.Lakini,kuna pikipiki wamepewa siku si nyingi zenye picha ya Samia.Yawezekana hiyo "wabhejha" ilikuwa sababu ya hiyo au unafiki tu. Click to expand... Hizo zipo kibao sio pikipiki tu mpaka Bajaj zimejaa kibao wanakopeshwa bila riba kwa masharti nafuu ya kutofuta rangi wala kuondoa picha ya Samia
CHIEF PRIEST JF-Expert Member Joined Dec 13, 2021 Posts 11,635 Reaction score 21,347 Oct 15, 2024 #43 Ukwaju said: kwani hapendwi kalaghabaho Click to expand... Anapendwa na nyie chawa wake tu kwa vile anawatupia makombo toka meza kuu.
Ukwaju said: kwani hapendwi kalaghabaho Click to expand... Anapendwa na nyie chawa wake tu kwa vile anawatupia makombo toka meza kuu.