Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa CoET maisha mazuri tu,jitahidi kutafuta madesa hayo ndio kila kitu kwako,mambo ya baby I luv u weka pembeni,mambo ya bashi weka pembeni,mambo ya kujiachia misosi weka pembeni jitahidi uwe unapiga lampard(uwe unapiga code 101 au 011)!! Maji uwe unadownload nunua jagi la kuchemshia maji......Ukifanya hvyo GPA above 4.5 utaipata otherwise utaambulia gpa kama ya jar car hire.
Thanks much bro, apo ni mwendo wa Lampard 2... masuala ya kubeba m2 pia haya wezi kuniaffect kimasomo?Kwa CoET maisha mazuri tu,jitahidi kutafuta madesa hayo ndio kila kitu kwako,mambo ya baby I luv u weka pembeni,mambo ya bashi weka pembeni,mambo ya kujiachia misosi weka pembeni jitahidi uwe unapiga lampard(uwe unapiga code 101 au 011)!! Maji uwe unadownload nunua jagi la kuchemshia maji......Ukifanya hvyo GPA above 4.5 utaipata otherwise utaambulia gpa kama ya jar car hire.