Wadau wenye experience na udsm naomba ushauri jamani

Wadau wenye experience na udsm naomba ushauri jamani

Drama.abk

Member
Joined
Jul 4, 2012
Posts
49
Reaction score
3
ADMISSION TAYARI, BADO VITAA KUANZA, kwa mimi wa 1st year cna hata mbinu nyingi zaidi ya kusoma 2 uko. I need advice pia na masuala mengine wadau wenzangu juu ya jinsi ya ku-survive uko.
(Hapa nafuatilia mabango yangu mawili tayari kwa migomo)
Future Engineer!
 
Kwa CoET maisha mazuri tu,jitahidi kutafuta madesa hayo ndio kila kitu kwako,mambo ya baby I luv u weka pembeni,mambo ya bashi weka pembeni,mambo ya kujiachia misosi weka pembeni jitahidi uwe unapiga lampard(uwe unapiga code 101 au 011)!! Maji uwe unadownload nunua jagi la kuchemshia maji......Ukifanya hvyo GPA above 4.5 utaipata otherwise utaambulia gpa kama ya jar car hire.
 
Dah huu ushauri ni kweree.. Thanks King Kong III , wacha nkasake madesa
 
Last edited by a moderator:
Usiende kula kula ovyo hapo chuo,utakosa hata nauli ya kurudi kwenu..me nilikua napga code 101 yani napga chai asubuh,mchana deshi na ucku nakula.kuhusu kupga msuli,wewe kama ni mcoet nakushauri elekeza akili yako kwenye madesa kaka,otherwise ukijidai na wewe kujifananisha na wale wenzio wa CASS utafail masomo yako.
 
..ah,izo mbwembwe za 1st yr.! Ukfka 2nd yr bata kama kawa..ila usijsahau kusoma..mepita miaka 4 pale iknw nachoongea..
 
Kwa CoET maisha mazuri tu,jitahidi kutafuta madesa hayo ndio kila kitu kwako,mambo ya baby I luv u weka pembeni,mambo ya bashi weka pembeni,mambo ya kujiachia misosi weka pembeni jitahidi uwe unapiga lampard(uwe unapiga code 101 au 011)!! Maji uwe unadownload nunua jagi la kuchemshia maji......Ukifanya hvyo GPA above 4.5 utaipata otherwise utaambulia gpa kama ya jar car hire.

asee binary ndo mpango. Tena na xpense mpya hizi kijana aandae bango 2. Harage from 1200 to 1500 nyama 1500 to 1700 . Hostel 200@day to 400@day and 4rom 400@day 2 800@day main cmps, boom 7500! Kuna bonge la mgomo linakuja kudadeki.
 
Kwa CoET maisha mazuri tu,jitahidi kutafuta madesa hayo ndio kila kitu kwako,mambo ya baby I luv u weka pembeni,mambo ya bashi weka pembeni,mambo ya kujiachia misosi weka pembeni jitahidi uwe unapiga lampard(uwe unapiga code 101 au 011)!! Maji uwe unadownload nunua jagi la kuchemshia maji......Ukifanya hvyo GPA above 4.5 utaipata otherwise utaambulia gpa kama ya jar car hire.
Thanks much bro, apo ni mwendo wa Lampard 2... masuala ya kubeba m2 pia haya wezi kuniaffect kimasomo?
 
Mwana ukbeba utapata baraka. Mi npo coet, kula shule acha pombe. Maisha mazuri- coet tunaheshmika mi nimebeba mwaka wa 1 na wapili watatu nikabebwa, huu wanne utanibeba dogo tutashare cost nitagharamikia 60% ya cost nzma ambayo ni 120000
 
Wacha uwoga nenda shule, mikopo yenyewe ishakua issue wewe umepata unaomba ushauri wa nini tena badalaya ya kumshukuru Mungu
 
Back
Top Bottom