habari ,wakuu nimeileta maada hii tujadili maana ni gonjwa linalo ua sana watu wakuu na watoto halichagui,sasa kila mtu atoe views zake apa kwa nini mpaka sasa hakuna dawa,tuseme ndo wameshindwa hawa madaktari??and lasttl kwa maono yako hii dawa inaweza patikana ndani ya miaka mingapi na kwa nini??