wadau when will hiv be cured???

wadau when will hiv be cured???

slab

Senior Member
Joined
Sep 12, 2013
Posts
119
Reaction score
27
habari ,wakuu nimeileta maada hii tujadili maana ni gonjwa linalo ua sana watu wakuu na watoto halichagui,sasa kila mtu atoe views zake apa kwa nini mpaka sasa hakuna dawa,tuseme ndo wameshindwa hawa madaktari??and lasttl kwa maono yako hii dawa inaweza patikana ndani ya miaka mingapi na kwa nini??
 
siku yoyote wakishapata ela za kutosha kwa kuuza ARV's..
 
Soon wil be available cz researchers work hard on it
 
Back
Top Bottom