mpimamstaafu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 4,445
- 4,707
Mmmmh sijui hata kama hao Gugo wanaitambua Chura FC, waeza ingiza jina la Yanga ku search ikatokea jina la ZescoπππMtani ukisikia nyuzi za kichochezi ndio kama hizi sasa.
Siku hizi google imerahisisha ujue. Mb zenu tu Mtani basi jibu mtalipata. πππ
Umejua kunichekesha asubuhi asubuhi Shadeeya, yaani tubishanie mechi na Mashujaaπ€£π€£π€£Hao nao wamekosa cha kubishania badala wazungumzie michezo ya Kimataifa wao wanabishania namba.
Imewaongezea nini kwani hiyo namba 16 mpaka sasa angalau hata wangebishania mechi yao ya jana dhidi ya Mashujaa angalau tungewaelewa. Teh teh
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Mtani kwa maneno haya nimeacha kubishania tena, Nawasubiri PyramidHao nao wamekosa cha kubishania badala wazungumzie michezo ya Kimataifa wao wanabishania namba.
Imewaongezea nini kwani hiyo namba 16 mpaka sasa angalau hata wangebishania mechi yao ya jana dhidi ya Mashujaa angalau tungewaelewa. Teh teh
Ndio Ses mana nimesikia sehemu munadai mumelipa kisasi eti.Umejua kunichekesha asubuhi asubuhi Shadeeya, yaani tubishanie mechi na Mashujaaπ€£π€£π€£
Wale wachumba tu kwetuπππ
Wale madogo hawatusumbui walibahatishaga tu kipindi kileNdio Ses mana nimesikia sehemu munadai mumelipa kisasi eti.
Ewaaaaa!!! Sababu Mtani kuanza kujadili nafasi zisizo na faida ni sawa na kuichosha akili tu.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Mtani kwa maneno haya nimeacha kubishania tena, Nawasubiri Pyramid
Kama mlivyobahatisha na nyie jana.πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈWale madogo hawatusumbui walibahatishaga tu kipindi kile
Ukiwa wacheza ma mtoto usipanie saana, kamoja tu ka mkwezi kanatosha ShadeeyaKama mlivyobahatisha na nyie jana.πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ
Eti eee!!! Haya bwana Ses.Ukiwa wacheza ma mtoto usipanie saana, kamoja tu ka mkwezi kanatosha Shadeeya
Shadeeya" kwema mkuuEti eee!!! Haya bwana Ses.
Nipo Kaka wa Green. Habari ya siku?Shadeeya" kwema mkuu