Wadau Yanga ni ya ngapi katika ubora wa vilabu Afrika?

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
4,445
Reaction score
4,707
WanaYanga wenzangu leo nimekatisha pale mitaa ya msimbazi na kuwakuta WAPENZI wa Simba wakijinasifu kuwa Klabu ya Simba ni ya 16 ktk ubora wa vilabu CAF. Yanga tukiwa Mabingwa wa Kihistoria je tunashika nafasi ya ngapi? Wachambuzi wa Soka hebu tuambieni.
 
Mtani ukisikia nyuzi za kichochezi ndio kama hizi sasa.

Siku hizi google imerahisisha ujue. Mb zenu tu Mtani basi jibu mtalipata. 😜😜😜
Mmmmh sijui hata kama hao Gugo wanaitambua Chura FC, waeza ingiza jina la Yanga ku search ikatokea jina la Zesco😎😎😎
 
Hao nao wamekosa cha kubishania badala wazungumzie michezo ya Kimataifa wao wanabishania namba.

Imewaongezea nini kwani hiyo namba 16 mpaka sasa angalau hata wangebishania mechi yao ya jana dhidi ya Mashujaa angalau tungewaelewa. Teh teh
 
U

Umejua kunichekesha asubuhi asubuhi Shadeeya, yaani tubishanie mechi na Mashujaa🤣🤣🤣

Wale wachumba tu kwetu😎😎😎
 
Wataalamu wa Takwimu wa CAF wanasema hawaijui timu inayoitwa Yanga
 
Hao nao wamekosa cha kubishania badala wazungumzie michezo ya Kimataifa wao wanabishania namba.

Imewaongezea nini kwani hiyo namba 16 mpaka sasa angalau hata wangebishania mechi yao ya jana dhidi ya Mashujaa angalau tungewaelewa. Teh teh
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Mtani kwa maneno haya nimeacha kubishania tena, Nawasubiri Pyramid
 
Ewaaaaa!!! Sababu Mtani kuanza kujadili nafasi zisizo na faida ni sawa na kuichosha akili tu.
 
Back
Top Bottom