Unapomdhamini mtu mwenye matatizo ya akili unategemea nini? Hapo yeye wala hajali anawaza amuhutubie nani.
..kwa taarifa yako mtu mwenye matatizo ya akili hatakiwi kushtakiwa, badala yake anatakiwa kupatiwa matibabu.
Unapomdhamini mtu mwenye matatizo ya akili unategemea nini? Hapo yeye wala hajali anawaza amuhutubie nani.
Hii ni hatari kubwa hawakawii kusema wadhamini pia wamenunuliwa!Wadhamini wa aliyekuwa mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu wamewasilisha maombi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kutaka itoe kibali ili makamu mwenyekiti huyo wa Chadema akamatwe.
Januari 30, 2020 Robert Katula ambaye ni mdhamini wa Lissu aliieleza mahakama hiyo kuwa juhudi walizofanya ni pamoja na kuwasiliana na mshtakiwa bila mafanikio pamoja na kumuandikia barua mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kuwasaidia ili Lissu arejee nchini.
Akizungumza leo Alhamisi Februari 20, 2020 wakili wa Serikali mwandamizi, Wankyo Saimon amedai mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba kuwa kesi hiyo imekuja kwa ajili ya kutajwa lakini wameshapokea nyaraka iliyowasilishwa mahakamani.
Katula amedai wamefanya jitihada za kumleta Lissu lakini imeshindikana na kuomba mahakama itoe kibali cha kukamatwa, “ tumefanya jitihada za kumleta lakini imeshindikana tunaiomba mahakama itoe kibali cha kukamatwa ili tuweze kuwa huru na kufanya shughuli zetu.”
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema mkuuTLisu aombe ulinzi kwa nani vile, wenye uwezo wa kupiga mtu risasi mchana kweupe, kuondoa CCTV cameras, kuondoa walinzi kwenye lindo na hawakamatwi, huoni wako above the court powers.
Hata bunge liliogopa kuunda tume ya kuchunguza mbunge kupigwa risasi hadharani, tena anamfukuza victim bungeni!!
Huoni ni shida??
Bado mahakama haijathibitisha ubovu wa akili lakini, raia hatuhitaji hilo. Tunafahamu matatizo yake tangu huku kijijini...kwa taarifa yako mtu mwenye matatizo ya akili hatakiwi kushtakiwa, badala yake anatakiwa kupatiwa matibabu.
Utadhani tuko Australia wanakopatikana viumbe wa aina ya pekee![emoji3073][emoji3073][emoji3073][emoji3073]Wadhamini wa aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu wamewasilisha maombi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakiomba itoe kibali ili makamu mwenyekiti huyo wa Chadema kukamatwa
Awali mahakama ilitaka kuwakamata wadhamini hao baada ya kushindwa kumpeleka waliyemdhdamini mahakamani hapo
Mmoja kati ya wadhamini wa Tundu Lissu, Robert Katula aliieleza Mahakama juhudi walizofanya kuhakikisha mshtakiwa anafika Mahakamani ni pamoja na kumwandikia barua Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe
Lissu anakabiliwa na Kesi ya Uchochezi yuko nchini Ubelgiji alikokwenda kwa matibabu baada ya kushambuliwa kwa Risasi Septemba 7, 2017 akiwa kwenye makazi yake Area D Jijini Dodoma akitoka kuhudhuria Vikao vya Bunge
Pia soma
![]()
Wadhamini wamwandikia barua Mbowe kumtaka Lissu arejee Tanzania
Dar es Salaam. Wadhamini wa aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki (CHADEMA), Tundu Lissu wameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam nchini Tanzania kuwa juhudi walizofanya kuhakikisha mshtakiwa anafika mahakamani ni pamoja na kumwandikia barua Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe...www.jamiiforums.com
Uko sahihi!hao watu walimdhamini Tundu Lissu kwa nia njema ila kwa mazingira yalivyo wao ndio wanabanwa itafutwe namna ya busara kuwaondoa kwenye hili janga
Hivi case Kama hii haiwezi kuendeshwa kwa video conference?KWA UPANDE WA USALAMA, MAHAKAMA INAONA NI SAHIHI T LISU AKIRUDI TANZANIA WAKATI HUU ATAPONA??
Je waliotaka kumuuwa wameishakamatwa??
Je akirudi wakamuuwa, maana nia bado ipo, mahakama itaona ni sawa??
Kwa nini kama mahakama inafanya haki, isiisisisitize serikali ikakamata wauwaji wafikishwe mahakamni ili T Lisu arudi bila woga???
Au wanataka arudi ili wamkabidhi kwenye mikono ya wauwaji watimize malengo yao??
Sio busara kiusalama ulete mtu wauwaji wake wapo hapo hapo ili wamuuwe hadharani kama walivyo kusudia kufanya!!
MAHAKAMA PIA ITATHIMINI SWALA LA USALAMA WA LISU UKOJE??
Hivi unapotaka kudhaminiwa,wadhamini wanatakiwa kuwa na vigezo vipi,?
Mimi nilidhani kadhaminiwa na viongozi wa chama au ndugu zake wa damu.
Jamani niwambe serikali chini ya rais wetu Wa watu makini na shupapavu sio wanyonge kumpuuza au kusamehe lissu tafadhali sana mh rais ebu tekeleza kauli yako uliosema watu wengine ni wakupuuza itasaidia sana kuleta mshikamano na umoja hii naiona kama jihanamu ya taifa letu kuendelea kumsakama lisu mkuu wangu na kiogonzi wangu wa nchi nakuomba ebu achana na malumbano yasiokua na sababu we jikite katika kile unachokiamini katika uongozi wakoWadhamini wa aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu wamewasilisha maombi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakiomba itoe kibali ili makamu mwenyekiti huyo wa CHADEMA kukamatwa.
Awali mahakama ilitaka kuwakamata wadhamini hao baada ya kushindwa kumpeleka waliyemdhamini mahakamani hapo.
Mmoja kati ya wadhamini wa Tundu Lissu, Robert Katula aliieleza Mahakama juhudi walizofanya kuhakikisha mshtakiwa anafika Mahakamani ni pamoja na kumwandikia barua Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe.
Lissu anakabiliwa na Kesi ya Uchochezi yuko nchini Ubelgiji alikokwenda kwa matibabu baada ya kushambuliwa kwa Risasi Septemba 7, 2017 akiwa kwenye makazi yake Area D Jijini Dodoma akitoka kuhudhuria Vikao vya Bunge.
Pia soma
![]()
Wadhamini wamwandikia barua Mbowe kumtaka Lissu arejee Tanzania
Dar es Salaam. Wadhamini wa aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki (CHADEMA), Tundu Lissu wameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam nchini Tanzania kuwa juhudi walizofanya kuhakikisha mshtakiwa anafika mahakamani ni pamoja na kumwandikia barua Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe...www.jamiiforums.com