Wadhamini wa Tundu Lissu wawasilisha maombi ya kibali cha kumkamata

Hivi hakuna utaratibu wa kisheria wa kubadili wadhamini kwenye nyakati kama hizi in case aliyepo kataka kujitoa?

Ili wenye imani naye na wanaompenda sana hata humu wamo waende wakaendelee alipoishia Robert!
 
Hii ni hatari kubwa hawakawii kusema wadhamini pia wamenunuliwa!
 
TLisu aombe ulinzi kwa nani vile, wenye uwezo wa kupiga mtu risasi mchana kweupe, kuondoa CCTV cameras, kuondoa walinzi kwenye lindo na hawakamatwi, huoni wako above the court powers.
Hata bunge liliogopa kuunda tume ya kuchunguza mbunge kupigwa risasi hadharani, tena anamfukuza victim bungeni!!
Huoni ni shida??
 
Ccm homa ya uchaguzi inapanda make wako under pressure lazima wahakikishe uchaguzi ukakuwa huru na haki.

Hivyo wanajaribu kutumia zile mbinu za akina madikteta Kagame, Jameh na Abacha za kuhakikisha wale vichomi wanakuwa jela na kwenye uchaguzi inakuwa ni "Walkover" kwake. Very poor and inept approach.
 
Sema mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..kwa taarifa yako mtu mwenye matatizo ya akili hatakiwi kushtakiwa, badala yake anatakiwa kupatiwa matibabu.
Bado mahakama haijathibitisha ubovu wa akili lakini, raia hatuhitaji hilo. Tunafahamu matatizo yake tangu huku kijijini.
 
Utadhani tuko Australia wanakopatikana viumbe wa aina ya pekee![emoji3073][emoji3073][emoji3073][emoji3073]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi case Kama hii haiwezi kuendeshwa kwa video conference?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi unapotaka kudhaminiwa,wadhamini wanatakiwa kuwa na vigezo vipi,?
Mimi nilidhani kadhaminiwa na viongozi wa chama au ndugu zake wa damu.
 
Hivi kutolewa hati ya kiukamatwa Lissu, wadhamini hanawezaje kuwa huru? Hawawezi kuwajibika kwa kukiukwa kwa masharti ya udhamini walioufanya? mfano hawatawajibika na kutimiza masharti ya kulipwa kwa Bond (Kama ipo) na yote yanayohusika na masharti ya dhamana hiyo?
 
Nipigwe gun kibao nipone af mniletee kesi zenu za ki ccm nirud wkt mbaya wangu sijamfahamu. Embu acheni akili za kindezi bana
 
Jamani niwambe serikali chini ya rais wetu Wa watu makini na shupapavu sio wanyonge kumpuuza au kusamehe lissu tafadhali sana mh rais ebu tekeleza kauli yako uliosema watu wengine ni wakupuuza itasaidia sana kuleta mshikamano na umoja hii naiona kama jihanamu ya taifa letu kuendelea kumsakama lisu mkuu wangu na kiogonzi wangu wa nchi nakuomba ebu achana na malumbano yasiokua na sababu we jikite katika kile unachokiamini katika uongozi wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…