Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 618
- 1,440
Wadogo zangu kabla hujaanza mahusiano na mwanamke, hakikisha anaweza kula kwa kipato chake mwenyewe. Hakuna kuanza uhusiano na mtu anayekuomba mtaji, umkute bize na mambo yake ndiyo umpe support. Unaweza kudhani umepata mpenzi kumbe mwenzio kapata pa kuhemea. Kila mtu anastahili kupata kilicho bora.
Sema ndiyo kaka
Mwl. Dogoli kinyamkela
Sema ndiyo kaka
Mwl. Dogoli kinyamkela