Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 618
- 1,440
FactUsimpe mtaji mwanamke ambaye hujawahi kumuona anafanya biashara wala usisaidie kulipa marejesho ambayo hukushirikishwa wakati wa kukopa.
'Sema ndiyo kaka''Wadogo zangu kabla hujaanza mahusiano na mwanamke, hakikisha anaweza kula kwa kipato chake mwenyewe. Hakuna kuanza uhusiano na mtu anayekuomba mtaji, umkute bize na mambo yake ndiyo umpe support. Unaweza kudhani umepata mpenzi kumbe mwenzio kapata pa kuhemea. Kila mtu anastahili kupata kilicho bora.
Sema ndiyo kaka
Mwl. Dogoli kinyamkela
Mbona makasiriko mkuu ππ'Sema ndiyo kaka''
Saikologia ya kufundishia watoto mashuleni unaileta Jf!
Mazoea yanalemaza na kubwetesha akiyamungu.
Ndiyo maana wengi mkishakustaafu, 'mnavuta' hata kabla ya kuishi maisha holela kwa miaka mitano!
Yaani Jf nzima iitikie hicho kibwagizo cha wanafunzi kwa prefect wao 'cha ndiyo kaka' kweli!
Yaani sisi!
Eebwana ebonyeza sana.
Sijakasirika wala nini.Mbona makasiriko mkuu ππ
ππΎππΎππΎMtoa mada umesema vizuri wanawake omba omba wanakera sana .
Wazazi wawape watoto wao wa kike mitaji Ili wafanye biashara itasaidia mtoto wa kike kutokuwa omba omba katika mahusiano.
Iwekwe kwenye katibaUsimpe mtaji mwanamke ambaye hujawahi kumuona anafanya biashara wala usisaidie kulipa marejesho ambayo hukushirikishwa wakati wa kukopa.
Somo Kaka linaeleweka japo kaa speed ndogo lakini matumaini yapo.Nafarijika sana nikiona wanaume wanazidi kutoka usingizini.