Wadogo zangu, kabla TV hazijaja enzi hizo mgeni alikuwa anapewa album atazame picha za zamani. Yaani umpe Mtanzania album asichomoe picha hata moja?

Wadogo zangu, kabla TV hazijaja enzi hizo mgeni alikuwa anapewa album atazame picha za zamani. Yaani umpe Mtanzania album asichomoe picha hata moja?

Daaaah! Basi enzi hizo mambo yalikuwa ni fire[emoji91] najaribu kuvuta picha vijana na watoto wa enzi sijui mlikuwa na muonekano wa Aina gani? Naipenda sana historia ya Tanzania Kuna kitu najifunza.Bila kusahau redio Tanzania RTD.daaah kweli ya kale ni dhahabu ngoja nivute kiti nikae ndio Kwanza mjadala umepamba moto[emoji411][emoji448][emoji343][emoji991][emoji1241]
Kipindi hiko sherehe ni sherehe kweli Christmas, iddy kubwa na ndogo sijui sabasaba na nanenane zilikuwa zinaheshimiwa sana na ilikuwa fahari kupika pilau siku ya nanenane au sabasaba.
 
They were so proud of their son.
Na haijalishi chuo upo certificate au dip au degree ukisema upo chuo ni heshima sana mtaani na wanachuo walikuwa ni watu wenye adabu kwelikweli kuanzia muonekana hadi kuongea smart kweli.
 
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 mwaka huo nlikua mtu mzima, nakumbuka omar ali juma alifariki sjui alikuaga waziri a nn, nyerere anafariki mimi ndo nlikua nimetahiriwa
Mimi nyerere anafariki nipo la tatu.

Ilikuwa kama mwisho wa nchi vile maana kengere ya shule ilipigwaa wote tukusanyike kisha kwa masikitiko makubwa sana mkuu wa shule akaeleza sababu ya kuitwa pale yaani nchi imepoteza kiongozi mkuu then tuliruhusiwa kurudi nyumban hadi tutapotangaziwa tena kurejea shule.
 
Kuchomoa ukumbusho muhimu. Picha zangu nilizopiga masomoni Australia zote zilichomolewa
 
Na haijalishi chuo upo certificate au dip au degree ukisema upo chuo ni heshima sana mtaani na wanachuo walikuwa ni watu wenye adabu kwelikweli kuanzia muonekana hadi kuongea smart kweli.
Halafu picha yako utakayopiga siku unachukua degree yako au diploma yako inawekwa kwenye frame halafu inatundikwa ukutani sitting room.
 
Nakumbuka mzee alikua na video tapes za Enrique Iglesias kulikua na videos kama bilamooooooos, sad eyes, maria maria za kina santana, kina Britney Spears, mzee alikua anamkubali sana Enrique mpaka akaniambukiza na mimi! Kipindi hicho Pierce Bosnan ndo alikua James Bond mpaka leo hii hizo ngona naskiliza! I realy miss me.
We utakuwa wa miaka ya 1998, sqsa huyo Enrique Iglesias si wa juzi tu hapa miaka ya 2000s. Sisi tunamjua Baba yake, Julio Iglesias
 
Picha zinapigwa siku ya sikukuu tu...halafu kwenye maua au sebuleni kwenye makochi.
 
Back
Top Bottom