Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unakuta mama ndio amekaa katikati akiwa amempakata mdogo wenu wa mwisho daaah zamani raha sanaKitambo sana mkuu. Nakumbuka enzi hizo kila Christmas tulikuwa tunapiga picha ya pamoja familia nzima kama ukumbusho
Hahahaha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbukumbu nzuri enzi hizo mpira wa makaratasi sodo anayo mtu mmoja, huyo uwanjani hamtakiwi kumkanyaga na yeye ndio anapanga nani acheze au asicheze na mkimkanyaga mpira anaweka kwapani na mchezo unaishia hapo, au ilikua lazima mkamsaidie kazi kama kuteka maji au kuosha vyombo ili muwahi kwenda kucheza.
Sauti ya nani ilisikika?Nireteeni Gwajima
Nireteeni Tulia, Nitatulia
Huyu Daniel Hajui Kujiereza Ni Darasa ra Saba
Ila Kwenye Matatizo Yenu Atawatetea Kule Bungeni
Huyo jamaa ni mjinga sanaMs*ng ku*m* la mamako
Pale kariakoo huku Dar kulikuwa na maduka yameandikwa kabisa Kodak au Konica. Bila shaka hawa ni wajapan kama sijakosea mkuuMikanda mizuri ilikuwa ni Kodak na konicaView attachment 1692056View attachment 1692057
Sawa mkuuUmenikumbusha mbali miaka iyo kulikuwa na mpiga picha mtaani kwetu anaitwa lenard, iloganzala mwanza kitambo sana
Mimi sina picha hata moja ya utotoni, umenikumbisha kitu, ngoja nikirudi nikaibe moja kwa mama mzaziWatoto wa siku hizi hawajui that struggle ya kumpata mpiga picha.
Aisee hadi leo nna album yangu ya picha za utotoni nimeihifadhi kwa kumbukumbu.
So mkuu unataka kusema ccm ishu za kuweka mpira kwapani walijifunzia huko?Kumbukumbu nzuri enzi hizo mpira wa makaratasi sodo anayo mtu mmoja, huyo uwanjani hamtakiwi kumkanyaga na yeye ndio anapanga nani acheze au asicheze na mkimkanyaga mpira anaweka kwapani na mchezo unaishia hapo, au ilikua lazima mkamsaidie kazi kama kuteka maji au kuosha vyombo ili muwahi kwenda kucheza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lolAjabu akija kwenu kachomoa anaenda kwake anaiweka kwenye album yake.
Siku ukienda kwake anakupa album yake uangalie ghafla unakuta ile picha ambayo huionagi nyumbani
Kimoyomoyo unasema kumbe bibi / babu na wewe ni mwizi ee?
Mwisho wa siku album yenu inabaki tupu
Sijui kwanini
Watoto wa siku hizi hawajui that struggle ya kumpata mpiga picha.
Aisee hadi leo nna album yangu ya picha za utotoni nimeihifadhi kwa kumbukumbu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah nimecheka wallah mbavu sina mweeehSisi wa mikoani!Kama ulikuja Dar na haukupiga picha Daraja la Manzese Basi hata utembee uchi huwezi kuaminiwa.
Hapana mkuuIvi bado kuna sehemu wanasafisha izo nega?
Noma sana mkuu...Kiza kitakosa kumbukumbu hiki haa enzi hizo mpiga picha anabaiskeli yake ya swala.
Kijana wa mwaka 2003 ngoja nikuweke album ya zamani uioneAmbatanisha hiyo album tafadhali.