Yale madebe yaliandikwa Korie, palikuwa na picha ya mwanaume aliyevalia nguo na kofia nyeupe(mavazi ya wapishi)Ukiachana na haya ya album, hivi hawa watoto waliozaliwa juzi juzi wanajua kwamba hawa tunaowaita wapiga debe jina lilitokana na kitu flani cha pembe nne kinachioitwa debe? Waliwahi kuliona debe? Siku hizi yapo wapi madebe wahenga?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sisi wa mikoani!Kama ulikuja Dar na haukupiga picha Daraja la Manzese Basi hata utembee uchi huwezi kuaminiwa.
Kiza kitakosa kumbukumbu hiki haa enzi hizo mpiga picha anabaiskeli yake ya swala.Ampate wapi mpiga picha wakati tablet mama yake anayo palepale?
Daaah kitambo sanaEnzi hizo picha inapigwa inatoka na nega. Ukitaka picha unachukua hiyo nega unaenda kusafisha
Ivi bado kuna sehemu wanasafisha izo nega?Enzi hizo picha inapigwa inatoka na nega. Ukitaka picha unachukua hiyo nega unaenda kusafisha
They were so proud of their son.Dah, miaka ya 99 kipindi hcho nimeenda chuo mkoani yaani kila mgeni atayekuja anatolewa album yangu na nyingine za nyumbani,utasikia hyu ni mwanangu wa pili anasoma chuo
Ms*ng ku*m* la mamakoNireteeni Gwajima
Nireteeni Tulia, Nitatulia
Huyu Daniel Hajui Kujiereza Ni Darasa ra Saba
Ila Kwenye Matatizo Yenu Atawatetea Kule Bungeni
SidhaniIvi bado kuna sehemu wanasafisha izo nega?
Kitambo sana mkuu. Nakumbuka enzi hizo kila Christmas tulikuwa tunapiga picha ya pamoja familia nzima kama ukumbushoDaaah kitambo sana
early 90's, enrique alianza kuimba miaka ya 90 mwanzon, hiyo sad eyes ni ngoma ya 94 , bailamos ni ya 99We umezaliwa elf mbili na ngp?? Maana huyo nwrique naye kijana tu
Mama yako alikuwa anakupenda sana mkuuDah, miaka ya 99 kipindi hcho nimeenda chuo mkoani yaani kila mgeni atayekuja anatolewa album yangu na nyingine za nyumbani,utasikia hyu ni mwanangu wa pili anasoma chuo huko mkoani,jamn karibia kila mgeni anaondoka na picha yangu mpaka nkawa najiuliza hivi mama yangu ananitakia nini
Sijui ndo ile sifa ya mwanao kusoma mkoaniMama yako alikuwa anakupenda sana mkuu
Maudhui ni album na TV zamani