Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Na kama hukufiak feri na ukapiga picha, unaonekana muongoSisi wa mikoani!Kama ulikuja Dar na haukupiga picha Daraja la Manzese Basi hata utembee uchi huwezi kuaminiwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kama hukufiak feri na ukapiga picha, unaonekana muongoSisi wa mikoani!Kama ulikuja Dar na haukupiga picha Daraja la Manzese Basi hata utembee uchi huwezi kuaminiwa.
Ulipotaja RTD, umeinikumbusha hadithi za shangazi Halima Kiemba, na Eda Sanga... hadithi ya ua jekunduDaaaah! Basi enzi hizo mambo yalikuwa ni fire[emoji91] najaribu kuvuta picha vijana na watoto wa enzi sijui mlikuwa na muonekano wa Aina gani? Naipenda sana historia ya Tanzania Kuna kitu najifunza.Bila kusahau redio Tanzania RTD.daaah kweli ya kale ni dhahabu ngoja nivute kiti nikae ndio Kwanza mjadala umepamba moto[emoji411][emoji448][emoji343][emoji991][emoji1241]
Aiseee...!!!! una umri gani?Primitive Thinking.
Hahahahaaaaa daaah noma sana mzee babaSisi wa mikoani!Kama ulikuja Dar na haukupiga picha Daraja la Manzese Basi hata utembee uchi huwezi kuaminiwa.
Dogo umeelewa vibaya. We utakuwa wa miaka 1998 kuzaliwa.Nakumbuka mzee alikua na video tapes za enrique iglesias kulikua na videos kama bilamooooooos, sad eyes, maria maria za kina santana, kina britney spears, mzee alikua anamkubali sana enrique mpaka akaniambukiza na mimi! kipindi hicho pierce bosnan ndo alikua james bond!!!!! mpaka leo hii hizo ngona naskiliza! i realy miss me
Sasa utamu na uharisia ni upi hapa hivi watanzania wanaweza sifia mambo ya uzamaniHapo kwenye picha, utasikia hii siwezi kukupa kwa sababu nega yake haipo.
Na ilikuwa inachukiza kweli, umepiga picha leo unaipata baada ya mwezi, kila ukikutana na mpiga picha anakwambia mkanda haujajaa.
Mbaya zaidi siku unategemea kupata hizo picha unaambiwa mkanda umeungua na lilikuwa ni tukio la muhimu sana.
Yalikuwa maisha fulani hivi matamu na yenye uhalisia sana. Kwa kizazi hiki ni ngumu sana kuweka hizo kumbukumbu.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 mwaka huo nlikua mtu mzima, nakumbuka omar ali juma alifariki sjui alikuaga waziri a nn, nyerere anafariki mimi ndo nlikua nimetahiriwaDogo umeelewa vibaya. We utakuwa wa miaka 1998 kuzaliwa
Hahahahaaaaa mara nyingi ndio inavyokuwaga mkuu.Ajabu akija kwenu kachomoa
Anaenda kwake anaiweka kwenye album yake
Siku ukienda kwake anakupa album yake uangalie ghafla unakuta ile picha ambayo huionagi nyumbani
Umenikumbusha jambo la muhimu sana mkuu. Ngoja na mimi nikusanye picha zangu zoooote za utotoni niziweke pahala pamoja.Watoto wa siku hizi hawajui that struggle ya kumpata mpiga picha
Aisee hadi leo nna album yangu ya picha za utotoni nimeihifadhi kwa kumbukumbu
Nacho jua mimi madebe ni magari yote yanayouzwa chini ya Tshs milion 50, uongo JamaniUkiachana na haya ya album, hivi hawa watoto waliozaliwa juzi juzi wanajua kwamba hawa tunaowaita Wapiga debe jina lilitokana na kitu flani cha pembe nne kinachioitwa debe? Waliwahi kuliona debe? Siku hizi yapo wapi madebe wahenga?
Hahahahaaaa hao ndio watanzania mkuuAjabu akija kwenu kachomoa
Anaenda kwake anaiweka kwenye album yake
Siku ukienda kwake anakupa album yake uangalie ghafla unakuta ile picha ambayo huionagi nyumbani
Kimoyomoyo unasema kumbe bibi / babu na wewe ni mwizi ee?
Mwisho wa siku album yenu inabaki tupu
Sijui kwanini
Mama yangu mdogo alienda kusoma Ulaya akaja na TV, deki pamoja na mikanda ya akina Michael Jackson pamoja na Lionel Richie.Nakumbuka mzee alikua na video tapes za enrique iglesias kulikua na videos kama bilamooooooos, sad eyes, maria maria za kina santana, kina britney spears
Huwaga najiuliza mzee alikua anaitoa wapi maana ilikua ni current sana kipindi hicho, sina uhakika kama kulikua na simu za mkononi enzi hizoMama yangu mdogo alienda kusoma Ulaya akaja na TV, deki pamoja na mikanda ya akina Michael Jackson pamoja na Lionel Richie.
Hakika ya kale ni dhahabuNakumbuka mzee alikua na video tapes za enrique iglesias kulikua na videos kama bilamooooooos, sad eyes, maria maria za kina santana, kina britney spears, mzee alikua anamkubali sana enrique mpaka akaniambukiza na mimi! kipindi hicho pierce bosnan ndo alikua james bond!!!!! mpaka leo hii hizo ngona naskiliza! i realy miss me