Wadogo zangu msisome Degree za Afya na Elimu

Usiwavunje nguvu vijana, acha wasome kwanza mambo ya Ajira ni mbele kwa mbele. Siungi mkono hoja!!😡
 
Kazi za kwenye ubao
 
Mbona EU wanaajiri sekta afya
 
Sisi ambao tuna graduate na shahada ya geography n environmental studies sijuhi itakuwaje
 
Upuuzi
 
Kwa Fikra zako kwanini watu wanasoma ?!!!!

By the way.....

 

NAUNGA MKONO HOJA.
 
Ccm is a total failure
 
UMENENA VYEMA MKUUU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…