Wadogo zetu wa sasa wana ujasiri sana, sio waoga kabisa

Madogo hawapendi kunyenyekea na dharau za maboss full stop , Boss cheza nafasi yako naye dogo acheze nafasi yake kupenda kunyenyekewa ni ufala
Kwann uone unadharauliwa.
Hampendi kufundishwa.Mnapokosolewa ndio mnaitwa dharau. Hampendi kuonekana hamjui, mkionyeshwa hamjui ili msaidiwe mnaleta ujuaji
 
Kwann uone unadharauliwa.
Hampendi kufundishwa.Mnapokosolewa ndio mnaitwa dharau. Hampendi kuonekana hamjui, mkionyeshwa hamjui ili msaidiwe mnaleta ujuaji
Unaposema hampendi kufundishwa unafikiri unaongea na mdogo wako hapa ?

Ndio huu upuuzi nao uzungumzia mlionao nyie wazee mliokumbatia vinafasi kwenye tuofisi twa mishahara ya dhiki.

Acheni kuona madogo ni watumwa wenu kutokana na huto tunafasi mlitonato msitotaka kutuachia.

Nyie wazee wenye akili za hivi ni wapumbavu sana na ndio mmejazana huko serikalini kazi kuendekeza majungu tu na kusoma magazeti
 
Ipo kazi jamani, yaani serikali inahitaji mkakati wa malezi nyumbani na shuleni. Pasipo hivyo waajiri wataendelea kuwa kataa Hawa vijana wa kileo. Hali ni mbaya kuliko deni la taifa linavyokua, vijana hawaajiriki bse hawaaminiki, simu kwao ndio boss na wengine mtasubiri, masihara ndio usiombe yaani I kama serikali haitaweka mkakati wa malezi utegemee kuona mabaya zaidi
 
😜😜Yaani Hawa vijana sio kabisaa... Ila ukweli ni malezi mabaya ndio sasa tunaona matokeo yake loh
 
Hakuna mahali popote elimu ilipobadilika mkuu.Elimu ni ile ile toka ilipoachwa na mkoloni,
Elimu imebadilika sana, sio kila mtu amesoma shule za kata, watanzania wamebadilika na pia uwezo wa kiuchumi umeongezeka, hivyo huwasomesha watoto wao shule zenye mitaala ya kuwa karibu zaidi na maendeleo ya mwanafunzi na kumjenga kujiamaini, sio kuchapwa na vitisho vinavyomfanya mtu kukua na nidhamu ya uoga.

Mabadiliko mengi ya leo ni social engineering zaidi...Na wengi wenu vijana sio kwamba mnajiaminnkwa maana ya kuwa na CONFIDENCE bali ni watu RECKLESS mliojizira HAMJALI na tena mmekosa SOCIAL ETHICS linapokuja suala la kazi. Jitazamen madogo.

Social Engineering ndio inayoendesha soko la leo, if you have to put things into scale, itaonenyesha ni jinsi gani dunia imebadilika haraka sana katika maendeleo ya kitechnologia ndani muongo mmoja kati ya 2010-2020.

Wenye mitazamo kama yenu wapo, lakini muda unavyozidi kwenda ndio mnazeeka na kupotea.
Na kama ungekuwa umewahi kuishi nje ya Tanzania, ungeona ile mitazamo ambayo tumekuzwa kufikiri kumkosoa mkubwa wako hata kama amekosea, ni kukosa adabu, ndio hapo mnakuwa na kuona vijana wa leo hawana social ethics.
 
Muda unasoma comment yangu, ulikua unawaza nini ? Nina wasiwasi na umri wako kama sio akili .
 
Fikiria upya ulichokiandika.
 
inawezekana umezaliwa kwenye gud tym kweli ila wazee wako hawakua na mindset hii ndio maana akaweza fanikiwa.am not judging ila nahis wewe uko na shida.
Sitoki familia ya kipato cha juu. Ukiamua judging mbona hata mimi nimekuchukulia namna fulani.

Nakuona mwenye umwinyi nyinyi ndio baba zenu walikuwa wanakula mapaja ya kuku nyie mnapewa miguu hivyo una hiyo mentality kichwani kwamba ukiwa mkubwa unatakiwa usikilizwe kila kitu.

Uko arrogant, ukitaka kumsaidia mtu unampima kwa "ukondoo" wake na sio kwa uwezo wake wa kufanya kazi. Uchawa kwanza, utendaji baadae. Nyinyi kawaida yenu msiponyenyekewa mnajifanya basi hamtoi hizo ajira, wakati unakuta hujawahi toa hizo ajira hata kwa hao wanyonge.

Na watu kama nyinyi mnaongoza kwa sexual abuse kazini. Kumtaka mtu kimapenzi ndio umpe ajira mnafanya sana. Akikataa mnamuona jeuri na "hasaidiki".

Na vijana wanawajua, huwa wanajifanya kondoo kuliko kuwa competent kazini. Mtu genuine na mwenye uwezo anakuwa real siku zote. Maskini akipata matako hulia mbwata. Jipime unataka heshima au unataka performance.
 
Una jazba unneccesary sana mkuu. Wewe ukikosa pesa sipati picha jinsi unavyokua mkali
 
Kama ni paper bas umeenda OP tulikua tunasema.. nina character na attitude tofaut na hicho ulichokizungumza hapo. Anyway tuachane na hiz habar bas
 
Una jazba unneccesary sana mkuu. Wewe ukikosa pesa sipati picha jinsi unavyokua mkali
Ukifanya utafiti kidogo unagundua sisi Kama Taifa ni lazima tufanye kitu juu ya hawa vijana. Hali ni mbaya fikiria hawa wachache hapa wanaowakilisha Wenzao majibu yao. Hili ni janga kubwa kuliko tunavyofikiria na wao wanajiona wako sahihi sana. With age comes wisdom and experience.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…