Wadudu wa Arusha ni janga jipya la kimaadili nchini. Acheni kuhalalisha uwepo wao

Matongee

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2023
Posts
1,056
Reaction score
2,729
Zamani ilikuwa inajulikana kuna vijana wa hovyo walikuwa wakijiita wadudu wa dampo jijini Arusha ambao hasahasa walikuwa wakijihusisha na muziki wa Hiphop. Na hata wengi wao walikuwa wakivuka adolescence hubadilika na kuwa na tabia za kiutu uzima ikiwamo kuacha kujiita mdudu wa dampo. Hawakuwa na impact kubwa sana. Lakini miaka ya hivi karibuni ndo upuuzi ukaongezeka kiasi kwamba hata baadhi ya mijitu mizima inajiita WADUDU.

Kichaa anachekesha kama sio ndugu yako. Hata wadudu wanachekesha sana kama hakuna ndugu yako kwenye lile kundi la wadudu. Vijana wanajiharibu kwa kuongea, kuvaa, kutembea na mambo mengine ya hovyo ili kujipatia sifa kuwa yeye ni MDUDU WA CHUGA. Kwa sasa hizo tabia zimeenea kuanzia Arusha mjini, Monduli, Boma, Moshi, Babati, Mto wa Mbu hadi Karatu. Sio Arusha jiji peke yake. Maadili yanazidi kuvurugika.

Viongozi mnaowapa uhalali hao vijana wadogo kuwa na tabia za kishenzi hamtendi haki. Mtafurahi kuona watoto wenu nao ni WADUDU? Wewe RC utajisikiaje kumuona Keagan kwenye kundi la wadudu? Mwenyekiti wa UVCCM Arusha ni mtoto wa Meya wa jiji. Kwanini naye asiwe mwenyekiti wa wadudu kama ingekuwa ni jambo jema?
 
Dawa ya wadudu ni "VIUATILIFU"

Tafuteni dawa ya kuua hao kunguni wasumbufu,watu wa chuga mnakwama wapi?
 
Hao wadudu ndio wanafanya nione Arusha ni jiji la ajabu ajabu, binafsi naona Hao wadudu kama wadudu kweli, sasa nchi yangu imefikia kuona watu waliochanganyikiwa kama ni wasanii.
 
Hayo ndio maono ya wana CCM. Upuuzi mtupu
 
Unaongea sana?
Panya road hukuwaona
 
ccm kuna mambo ya ajabu sana, hili la "wadudu wa chuga" ni mojawapo
 
  • Mshangao
Reactions: 511
Hao wadudu ndio wanafanya nione Arusha ni jiji la ajabu ajabu, binafsi naona Hao wadudu kama wadudu kweli, sasa nchi yangu imefikia kuona watu waliochanganyikiwa kama ni wasanii.
hivi mbona wenye mji wao hawalalamiki? Hawana shida nao?
 
Zamani ilikuwa inajulikana kuna vijana wa hovyo walikuwa wakijiita wadudu wa dampo jijini Arusha ambao hasahasa walikuwa wakijihusisha na muziki wa Hiphop. Na hata wengi wao walikuwa wakivuka adolescence hubadilika na kuwa na tabia za kiutu uzima ikiwamo kuacha kujiita mdudu wa dampo. Hawakuwa na impact kubwa sana. Lakini miaka ya hivi karibuni ndo upuuzi ukaongezeka kiasi kwamba hata baadhi ya mijitu mizima inajiita WADUDU.

Kichaa anachekesha kama sio ndugu yako. Hata wadudu wanachekesha sana kama hakuna ndugu yako kwenye lile kundi la wadudu. Vijana wanajiharibu kwa kuongea, kuvaa, kutembea na mambo mengine ya hovyo ili kujipatia sifa kuwa yeye ni MDUDU WA CHUGA. Kwa sasa hizo tabia zimeenea kuanzia Arusha mjini, Monduli, Boma, Moshi, Babati, Mto wa Mbu hadi Karatu. Sio Arusha jiji peke yake. Maadili yanazidi kuvurugika.

Viongozi mnaowapa uhalali hao vijana wadogo kuwa na tabia za kishenzi hamtendi haki. Mtafurahi kuona watoto wenu nao ni WADUDU? Wewe RC utajisikiaje kumuona Keagan kwenye kundi la wadudu? Mwenyekiti wa UVCCM Arusha ni mtoto wa Meya wa jiji. Kwanini naye asiwe mwenyekiti wa wadudu kama ingekuwa ni jambo jema?
Screenshot_20240503-174340~2.png
 
Hao wadudu ndio wanafanya nione Arusha ni jiji la ajabu ajabu, binafsi naona Hao wadudu kama wadudu kweli, sasa nchi yangu imefikia kuona watu waliochanganyikiwa kama ni wasanii.
Ona uonavyo haibadilishi kitu,husaidii chochote,hauna umuhimu wowote kwao

Acha watu na mji wao,kaa kwako
 
  • Thanks
Reactions: 511
Back
Top Bottom