Tetesi: Wadudu wa "kidudu Mtu" wazua hofu, Wanakula mboga na Matunda

Tetesi: Wadudu wa "kidudu Mtu" wazua hofu, Wanakula mboga na Matunda

Mumejaribu kumuua kwa sumu za wadudu ikashindikana ?wataalamu WA sua morogoro wamesema Hana madhara kwa binadamu Bali Ana madhara kwa mimea
 
Wakuu juzi juzi hapa nilikua napata kusikia na kuona habari kuhudu yule mdudu almaarufu kidudu mtu aliyeonekana kwenye mapapa na mboga na wakisema ana sumu kali ya kuua wanadam,,aliishia wapi hivi na habari zake mmesikia hivi karibuni?
IMG-20170802-WA0006.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo kidudu mtu kumbe alikuwa ni LIPUMBA mkuu....sasa ameanza kujionesha tabia yake halisi
 
Hakukuwa Na Ukweli Wowote Kuhusu Taarifa Hiyo Zaidi Ulikuwa Upotoshaji Inasemekana Ni Wadudu Wa Kawaida
 
Na wataalamu wetu wengi wa kufanya tafiti wamekimbilia kwenye siasa
 
Natamani ningepata hata jina lake la kisayansi au hata la kingereza
 
Back
Top Bottom