Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,485
Huyo uliyemuona wewe na huyu anayetumika kutishia watu ni wadudu wawili tofauti.MKUU NI KWELI UNACHOKISEMA MIMI KWA MACHO YANGU NILIWAHI KUSHUUDIA NI KWELI WALE WADUDU WANAFANANA NA BINADAMU KWENYE USO WEUSI KISULA
NILIWAHI KUSHUDIA KWENYE MAJANI YA MTI WA KISAMVU, AU WENGINE WANAPENDA KUITA MAJANI YA MHUGO AMBAYO HUTENGENEZWA MBOGA ,NAZANI WATU WA KAHAMA WANAPENDA SANA MBOGA HIYO.
KESHO NTAPIGA PICHA NIWAONESHA KAMA NTAPATA MDA , KWA MALA YA KWANZA NILIMUONA KWENYE MAJANI HAYO
View attachment 521440 View attachment 521441
Huyo wa kwenye kisamvu anaitwa cassava mealybug (camabu) na huyu anaitwa papaya mealybug.
Wanaathiri mazao kiasi huko Msumbiji walilazimika kufuga kwa wingi aina fulani ya manyigu ili kupambana na camabu, lakini hakuna uthibitisho kuwa ukimla utaumwa au kufa.