Tetesi: Wadudu wa "kidudu Mtu" wazua hofu, Wanakula mboga na Matunda

Tetesi: Wadudu wa "kidudu Mtu" wazua hofu, Wanakula mboga na Matunda

Huo ugonjwa unaitwa Ubiriunga unaathiri mimea Mingi Sana.
 
Hivi shule zinafunguliwa lini? Nimechoka na uongo wa wanafunzi humu
 
2948a07dbb07377ab4b58d2ebcd154c5.jpg
 
Yani watu humu wameshachunguza na kugundua kuwa huyo mdudu ana sumu kali na wanaripoti kuwa Kuna watu wamekufa kwa hiyo sumu,lakini cha ajabu serikali Haina hata taarifa za hivyo vifo.
 
Habari za uzushi hakuna ukweli wowote juu ya jambo hili mamlaka husika zimewaomba wale waliomwona mdudu mtu wamkamate ili uchunguzi ufanyike hamna hats mmoja aliyejitokeza acheni kuwatia watu hofu.
Pia mnataka kuwatia hofu wananchi wanaoishi kwa kula na kuuza mboga sio jambo zuri[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji133] [emoji133]
Ni kweli kabisa nko sengerema mkuu na kweli nimejionea
 
Habari za uzushi hakuna ukweli wowote juu ya jambo hili mamlaka husika zimewaomba wale waliomwona mdudu mtu wamkamate ili uchunguzi ufanyike hamna hats mmoja aliyejitokeza acheni kuwatia watu hofu.
Pia mnataka kuwatia hofu wananchi wanaoishi kwa kula na kuuza mboga sio jambo zuri[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji133] [emoji133]
weka picha mkuu
 
Attachments

  • IMG-20170618-WA0014.jpg
    IMG-20170618-WA0014.jpg
    60.6 KB · Views: 87
  • IMG-20170618-WA0013.jpg
    IMG-20170618-WA0013.jpg
    36.4 KB · Views: 73
Pattern tu katika mabawa yao, hakuna uchawi hapo! Designed to keep predetors away, including you. Kama unaweza ni kidudu mtu sijui, shauri yako
 
Huyu kidudu mtu awaache kwanza watu wa geita na wao nasikia kuna makinikia huko
 
Back
Top Bottom