Tetesi: Wadudu wa "kidudu Mtu" wazua hofu, Wanakula mboga na Matunda

Tetesi: Wadudu wa "kidudu Mtu" wazua hofu, Wanakula mboga na Matunda

Hii nchi noma Sana, yote hii ni kutaka kututoa kwenye mchele wa makinikia
 
Nashangaa hii taarifa juu ya huyu mdudu inasambaa kwa kasi na mamlaka husika ziko kimya tu..hazitoi taarifa husika..nafikiri wizara ya afya wangetoa tamko.....
 
Jina lake nan au ndio dudu mtu!
Acha kutuhamisha kwenye umakinikia
 
Hakuna mdudu mwenye jina hilo. Hizo ni hatua za ukuaji wa mdudu .
 
Nilimwona miaka ya 90 huku kijijini kwetu, nashangaa alikuwa hajafika tu huko mjini.
 
Hivi wale jamaa wa private jet bado wapo kweli?
 
Hiyo kitu nilipost hapa watu wakasema ni uzushi, nikaweka hadi picha
 
mbona wizara husika zipo kimya khs huyu mdudu na hatua gani zimechukuliwa na serikali....

ngoja tufe ndio watashtuka.
 
KIDUDU MTU kiliwahi kuzuka pia zamani, enzi zile miaka ya 1989,1990.
 
Atari sana, huku mchele wa plastiki, kule mayai ya plastic.Bila kusahau makinikia, tutapona kweli?
 
45ca539fb4d18a6f2756755b02825f5e.jpg
Huyu ni mdudu au mnyama? ni mdudu kwa misingi ipi?
 
Back
Top Bottom