Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nje ya mada kidogo: nikiwa naisoma caterpillar history (kampuni) katika Technician for Africa certificate yao siku moja mmiliki Benjamin Holt akiwa na mwanaye na mpiga picha katika kuizindua track type tractor mpiga picha akiwa anapiga picha alifananisha mashine ile na caterpillar (kiwavi) 👆 hatimaye mmiliki akapitisha jina la kampuni yake kuwa CATERPILLAR kutokana na mdudu kama huyo pichani.
Umeniongezea maarifa asante sanaNje ya mada kidogo: nikiwa naisoma caterpillar history (kampuni) katika Technician for Africa certificate yao siku moja mmiliki Benjamin Holt akiwa na mwanaye na mpiga picha katika kuizindua track type tractor mpiga picha akiwa anapiga picha alifananisha mashine ile na caterpillar (kiwavi) 👆 hatimaye mmiliki akapitisha jina la kampuni yake kuwa CATERPILLAR kutokana na mdudu kama huyo pichani.
Nionavyo mimi:Tupate definition ya maneno kwanza
- Kutembea
- Kutambaa
- Kuruka

Huyu 👆👆ndo Dragon fly mwenyewe au
Huyu ni yule maarufu kama nzi wa mizoga Blow fly au Tumbu fly. Husababisha vidonda kwa Vikojozi
Basi kwa mantiki hiyo Mshana Jr asitudanganye kuwa ati hajawahi kuona siafu au pansi wakitembeaNionavyo mimi:
1. Kutembea= kujongea kwa kutumia miguu 2 au 4 kwa utaratibu wa kubadilisha miguu upande wa kulia na wa kushoto.
2. Kutambaa= kujongea kwa kujivuta au kuburuza tumbo(Abdomen) kuelekea mbele kichwa kikiongoza.
3. Kuruka = Kujongea kwa kupita hewani .
![]()
🤣🤣Inawezekana siafu(wazee wa kiminyio) hawajawahi kumtembelea nyumbani kwake au kwenye banda la kuku. Atajua siku hiyo kwamba majivu ni mali.
Una agenda gani kwenye hii post?