Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee huyu Dar kuna watu wanakula. Kulikuwa na mti wa mwembe sehmu na walikuwepo wengi sana, kuna mama mmoja alikuwa anakwenda na kibobo kuwavuna na kwenda kula.
Kuna jamii moja iko kama huyu, ukimgusa anatoa ''antena'' mbili kichwani, nyekundu, zinachomoka kwa ghafla na kurudi ndani, yaani ni kama zinapiga indicator, Sasa nilikuwa nashangaa zikikupata zitakuchoma au inakuwaje?Je ulishawahi kuona mdudu atembeaye? Mimi sijawahi kwakweli kwakuwa viumbe hai watembeao ni aidha wana miguu miwili ama minne.
Hizi ni baadhi ya picha za wadudu warukao na watambaao.. Kati ya hawa kuna ambao tunawafahamu katika uhalisia wake
Kati ya hawa kuna ambao tunaishi nao
Kati ya hawa kuna ambao Tumejifunza tu mashuleni
Na Kati ya hawa kuna waharibifu, wenye maambukizi sumu nkView attachment 3243746
Duh🥺🥺😋😋😋Wanaita ''machavichavi''
View attachment 3244326
Dudu washaJe ulishawahi kuona mdudu atembeaye? Mimi sijawahi kwakweli kwakuwa viumbe hai watembeao ni aidha wana miguu miwili ama minne.
Hizi ni baadhi ya picha za wadudu warukao na watambaao.. Kati ya hawa kuna ambao tunawafahamu katika uhalisia wake
Kati ya hawa kuna ambao tunaishi nao
Kati ya hawa kuna ambao Tumejifunza tu mashuleni
Na Kati ya hawa kuna waharibifu, wenye maambukizi sumu nkView attachment 3243746
Locomotion. Aina za locomotion/mobilityTupate definition ya maneno kwanza
- Kutembea
- Kutambaa
- Kuruka