Wadudu warukao na watambaao

Aisee huyu Dar kuna watu wanakula. Kulikuwa na mti wa mwembe sehmu na walikuwepo wengi sana, kuna mama mmoja alikuwa anakwenda na kibobo kuwavuna na kwenda kula.
😁😀😀😀😋😋😋
 
Kuna jamii moja iko kama huyu, ukimgusa anatoa ''antena'' mbili kichwani, nyekundu, zinachomoka kwa ghafla na kurudi ndani, yaani ni kama zinapiga indicator, Sasa nilikuwa nashangaa zikikupata zitakuchoma au inakuwaje?
 
Dudu washa
 
Nzi wa matunda waliobadilishwa vinasaba wanaweza kuharibu methylmercury, uchafuzi wa sumu katika mazingira. Mafanikio haya yanatoa suluhisho linalowezekana la kibaolojia kwa kusafisha zebaki.
 
Here’s one lobster that you might not want with a side of butter: the lobster moth (Stauropus fagi)! Named for its lobster-like larval form, this wide-ranging insect might be spotted in parts of Europe or Asia. It lives in woodland and deciduous forest habitats, where it munches on the leaves of various plants. While it resembles a crustacean, it can also mimic ants as a way to deter potential predators.

Photo: Holger müller, CC BY-SA 3.0, Wikimedia Commons
 
Gecko mwenye mkia wa majani (Uroplatus phantasticus): 90mm (inchi 3.5). Mtambaazi huyu ni spishi ya mjusi wa asili ya kisiwa cha Madagaska. Picha maridadi zilizopigwa na Prabhashitha Fernando huko Madagaska. 🦎
 
Duh hii kali😂kumbe mpaka wadudu🥱
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…