Hamissi Hamza Jr
JF-Expert Member
- Apr 16, 2020
- 561
- 1,149
Mkuu wengine mmeamua kulijenga taifa na hizi hoja zako NNE.Miongoni Mwaa Dalili za Changamoto Ya Afya ya Akili Ni
1.kwenda Nyumba za wageni Wakati wewe Ni Mwenyeji.
2.Kutuma Na Ya Kutolea Ili Aje Uyo Unaekutana nae.
3.Kulalia Mashuka Ambayo Wengine Wameyatumia Na Kumwaga Uchafu wao.
4.Kujifutia Taulo Usoni Ambalo Wengine Wamejifutia Kwenye Makalio.
Si kila mtu anayekwenda guest ana changamoto ya afya ya akili. π Hizi ni tabia unazoweza kuziona kwa mtu, lakini haziwezi peke yake kuwa kipimo cha kumtambua mwenye tatizo la afya ya akili. Afya ya akili inahitaji kuangaliwa kwa dalili, muda, athari kwenye maisha na tathmini ya mtaalamu. Hapo kwenye βtaulo la usoniβ nimecheka, lakini hoja yenyewe inahitaji usahihi kidogo. πMiongoni Mwaa Dalili za Changamoto Ya Afya ya Akili Ni
1.kwenda Nyumba za wageni Wakati wewe Ni Mwenyeji.
2.Kutuma Na Ya Kutolea Ili Aje Uyo Unaekutana nae.
3.Kulalia Mashuka Ambayo Wengine Wameyatumia Na Kumwaga Uchafu wao.
4.Kujifutia Taulo Usoni Ambalo Wengine Wamejifutia Kwenye Makalio.
Chief Hakuna Sehemu Nilioandika mimi ni mtakatifu Hayo umeyasema WeweπMkuu wengine mmeamua kulijenga taifa na hizi hoja zako NNE.
Hongeraa sana ndugu mtakatifu
Mkuu Sabuni Haiondoi/Haitakatishi/Haisafishi Uchafu Wa Watu Waliokutana Inaondoa tu MichiriziSitetei zinaa wala uasherati ila sababu zako nyepesi sana.
Mashuka na mataulo si yana fuliwa?
Wewe kwako shida ni hizo nguo, huyo unaekutana nae uko peke yako?
Pole Ya Nini Mkuu?Pole
Kumradhi Mkuu Sikujuaπila Jitahidi wakati Mwingine Muendee Na Mashuka na Taulo Yenu.Naomba tuheshimiane bwana mdogo hapo kwenye namba 1!!!!! Wengine huwa tunaenda gest na wake zetu kama namna ya kubadilisha mazingira ya kudinyana na kutafuta wadogo zako maana hatuna Hela za hotelini
Sema Neno Mkuuπππ
Hata Kama Point Ni weak Chief,Ila Ukweli Utabaki Palepale Kutumia Taulo La Guest Ni JauMental health, ni janga kubwa! Haza hizi point ni...
πππUsitudanganye. Upwiru sio ugonjwa wa akili. Mtu anayekwenda guest house ni kwa sababu ya upwiru tu umemkaba na hana pori la kwenda kujificha au hana uhuru wa kwenda nyumbani anakolala.
Mkuu Sabuni Haiondoi/Haitakatishi/Haisafishi Uchafu Wa Watu Waliokutana Inaondoa tu Michirizi
Unapiga tu ombi la utakaso! halafu unaangalia na pembeni...Hata Kama Point Ni weak Chief,Ila Ukweli Utabaki Palepale Kutumia Taulo La Guest Ni Jau
πππUnapiga tu ombi la utakaso! halafu unaangalia na pembeni...