Waethiopia wana asili ya wapi?

 
Waarabu wa Afrika Kaskazini wanatokea Arabian Peninsula, wenyeji wa asili wa Afrika Kaskazini ni Amazigh / Barbers.

Amazigh asili yao ni Cushitic ingawa wengi wao kwa sasa wamechanganyikana na Waarabu na Wazungu kwa kiasi kikubwa.
halafu tukiwa nae ughaibuni naye mzungu na mchina anambagua vibaya sana dah
 
Madagascar wana mchanganyiko wa Uhindi, Wahindi walipelekwa kulima miwa na wakoloni.
madagascar na wenyewe ni jamii yao. si mchanganyiko na wahidni. mchanganyiko wa wahindi wapo Mauritius
 
madagascar na wenyewe ni jamii yao. si mchanganyiko na wahidni. mchanganyiko wa wahindi wapo Mauritius
Madagascar ni mchanganyiko wa Bantu na jamii za Asia Mashariki. Hii ni kwa mujibu wa vipimo vya vinasaba vilivyofanyika.
 
Hapo ndio DNA inapokuja kutoa majibu ya mambo kama haya. DNA inaonyesha mpaka asili ya mtu na hata kama ni mchanganyiko wa mataifa zaidi ya matatu DNA itasema
 
Nafikiria hapa ndipo yalipo makabila 12 ya wana wa Israel.
 
Kush ni mtoto wa Ham na ni mjukuu wa Nuhu.
Lakini kuhusisha Cushites na Kush ni nadharia za Mzungu wa kutoka Ujerumani ambazo hazina ushahidi wowote.
Nakumbuka nikiwa chuo kwa Wakatoliki Sister mmoja alikuwa lecture wangu alinipa kazi ya kuifanyia tafiti Hamatic theory Mzee baba wazungu sio watu kabisa. Toka siku hiyo nilijua kuwa hakujawahi na hakutatokea kuwa na urafiki Kati ya Mzungu na Mwafrika.
 
Tupe kidogo udambwi
 
Nafikiria hapa ndipo yalipo makabila 12 ya wana wa Israel.
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ sijajua ndg, ila inawezekana. Afrika tuna utajiri mkubwa wa sana makabila na lugha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…