Waethiopia wana asili ya wapi?

Waethiopia wana asili ya wapi?

Kwenye Uafrika hawapo, uzungu hawapo wala Uarabu hawapo p
Kwenye Uafrika hawapo, uzungu hawapo wala Uarabu hawapo pia.

View attachment 1886873
hapo ilipigwa mchanyato wa mzungu wa ulaya na muaisia plus mwafrika yaani autosomal ancestry of Eurasian ("Caucasian") with native Sub-Saharan African origin. Sasa hatujui aliyechepuka ninani na mchanyato huu kumbuka ni wa kizazi na vizazi mfano mtu kama Tiger Wood mwenye wazazi wenye asili ya Asia, Uafrika na Uzungu plus Uisraeli nadani yake akisema aendeleze kizazi chake ndani kwandani kwa miaka alfa ulea elfu si atatoka mtu wa kizazi cha utofauti kabisa
 
Waarabu wa Afrika Kaskazini wanatokea Arabian Peninsula, wenyeji wa asili wa Afrika Kaskazini ni Amazigh / Barbers.

Amazigh asili yao ni Cushitic ingawa wengi wao kwa sasa wamechanganyikana na Waarabu na Wazungu kwa kiasi kikubwa.
halafu tukiwa nae ughaibuni naye mzungu na mchina anambagua vibaya sana dah
 
Madagascar wana mchanganyiko wa Uhindi, Wahindi walipelekwa kulima miwa na wakoloni.
madagascar na wenyewe ni jamii yao. si mchanganyiko na wahidni. mchanganyiko wa wahindi wapo Mauritius
 
madagascar na wenyewe ni jamii yao. si mchanganyiko na wahidni. mchanganyiko wa wahindi wapo Mauritius
Madagascar ni mchanganyiko wa Bantu na jamii za Asia Mashariki. Hii ni kwa mujibu wa vipimo vya vinasaba vilivyofanyika.
 
Hapo ndio DNA inapokuja kutoa majibu ya mambo kama haya. DNA inaonyesha mpaka asili ya mtu na hata kama ni mchanganyiko wa mataifa zaidi ya matatu DNA itasema
 
Uko sahihi sana. Waafrika wanatofautiana sana
  1. Waarabu (wale wa Afrika kaskazini) bado ni Waafrika
  2. Nilotes (wa Daatoga, Wamasai, Wapokot na Wadinka wa Sudan)
  3. Hamites
  4. Bantu (Wamakonde, Wahehe, Wazaramo nk)
  5. Cushites (Waeritrea, Ethiopia, Wairaq wa Manyara nk)
  6. Khoisan (Wahadzabe, Wasandawe)
Nafikiria hapa ndipo yalipo makabila 12 ya wana wa Israel.
 
Kush ni mtoto wa Ham na ni mjukuu wa Nuhu.
Lakini kuhusisha Cushites na Kush ni nadharia za Mzungu wa kutoka Ujerumani ambazo hazina ushahidi wowote.
Nakumbuka nikiwa chuo kwa Wakatoliki Sister mmoja alikuwa lecture wangu alinipa kazi ya kuifanyia tafiti Hamatic theory Mzee baba wazungu sio watu kabisa. Toka siku hiyo nilijua kuwa hakujawahi na hakutatokea kuwa na urafiki Kati ya Mzungu na Mwafrika.
 
Nakumbuka nikiwa chuo kwa Wakatoliki Sister mmoja alikuwa lecture wangu alinipa kazi ya kuifanyia tafiti Hamatic theory Mzee baba wazungu sio watu kabisa. Toka siku hiyo nilijua kuwa hakujawahi na hakutatokea kuwa na urafiki Kati ya Mzungu na Mwafrika.
Tupe kidogo udambwi
 
Nafikiria hapa ndipo yalipo makabila 12 ya wana wa Israel.
😀 😀 😀 sijajua ndg, ila inawezekana. Afrika tuna utajiri mkubwa wa sana makabila na lugha.
 
Back
Top Bottom