Waethiopia wana asili ya wapi?

Waethiopia wana asili ya wapi?

Ethiopia na sampuli zake zote Asili yao mashariki,

Wamo djibout,erithrea na somali hata jamii ya tutsi.

Na wanafurahia sana kuhusishwa na jamii za ng'ambo.
Watu wa ajabu sana
Wabongo bana na mambo yao ya kufikirika..enhee hebu tupe source yako ya information kama sio utopolo mtupu!
 
30 July 2022

Ethiopian emperor descendant discusses upbringing: a new documentary

Yeshi Kassa, the descendant of an Ethiopian emperor, speaks with Michelle Miller about her upbringing as well as the new documentary “Grandpa Was an Emperor,” which is about Kassa’s journey of coming to terms with both a privileged and painful past.
Source : CBS Mornings
 
Uko sahihi sana. Waafrika wanatofautiana sana
  1. Waarabu (wale wa Afrika kaskazini) bado ni Waafrika
  2. Nilotes (wa Daatoga, Wamasai, Wapokot na Wadinka wa Sudan)
  3. Hamites
  4. Bantu (Wamakonde, Wahehe, Wazaramo nk)
  5. Cushites (Waeritrea, Ethiopia, Wairaq wa Manyara nk)
  6. Khoisan (Wahadzabe, Wasandawe)
Hawa Muhicans tunawaeka kundi gani hapo.
JamiiForums342422911.jpg
JamiiForums342422973.jpg
JamiiForums342422942.jpg
JamiiForums342422198.jpg
 
Uko sahihi sana. Waafrika wanatofautiana sana
  1. Waarabu (wale wa Afrika kaskazini) bado ni Waafrika
  2. Nilotes (wa Daatoga, Wamasai, Wapokot na Wadinka wa Sudan)
  3. Hamites
  4. Bantu (Wamakonde, Wahehe, Wazaramo nk)
  5. Cushites (Waeritrea, Ethiopia, Wairaq wa Manyara nk)
  6. Khoisan (Wahadzabe, Wasandawe)

Umesahau jirani zetu wa zenji kuwaeka kwenye kundi la waarabu hapo wanapenda sana hahaha kuna dogo mmoja kutoka makunduchi huko anajiita muarabu aliyezaliwa Africa dogo mweusi tiiii eti nae muarabu hahah huwa nawashangaa sana hawa watu utadhani Africa hakuna waarabu(eg.North Africa)
 
Uko sahihi sana. Waafrika wanatofautiana sana
  1. Waarabu (wale wa Afrika kaskazini) bado ni Waafrika
  2. Nilotes (wa Daatoga, Wamasai, Wapokot na Wadinka wa Sudan)
  3. Hamites
  4. Bantu (Wamakonde, Wahehe, Wazaramo nk)
  5. Cushites (Waeritrea, Ethiopia, Wairaq wa Manyara nk)
  6. Khoisan (Wahadzabe, Wasandawe)
Khoisan na wahadza ni vitu viwili tofauti mkuu. Khoikhoi na San nd wametoa Khoisan huko afrika kusini. Wahadzabe na wasandawe ni jamii tu za watu kale na Wana uhusiano wa karib kabisa na wafugaji kama manyema.
 
Ethiopia ndio shina la binadamu wote walipotokea, Maana yake binadamu walianzia Ethiopia ndo wakatawanyika duniani. Soma kitabu cha gwiji Jared Diamond kinaitwa Gun, Germs and Steel
Kuna kitabu kinasema mtu wa mwanzo alitokea fraunkaten huko ASIA
 
Wanawake wa Africa, hasa wa mjini, ndo kawaida yao! ... yaani ni mashombe wa mchongo! 😅
1660583228023.png

NB: Usisahau kuwa, kisayansi, binaadam wote chimbuko lao ni Afrika! ... kwa hiyo muafrika akiamua kujibadirisha anaweza kuwa kama Mchina, Mhindi, Mzungu au hata Muarabu! 😅
 
Baadhi ya waethiopia wana asili ya Uyahudi (Bèta Israel). Miaka ya 1980 - 1990 israel ilifanya operation ya kuwarudisha israel baadhi ya waethiopia. MFALME Haile Sellasie ni kizazi cha mfalme (nabii ) Suleiman mwana wa Daudi
Waliitwa mafarasha
 
Back
Top Bottom