Lecheminduroi
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 1,183
- 3,584
Madagascar si kuna jamii kama afro chinese hivi? Hata rais wao ana uchina flani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaitwa Austronesians.Madagascar si kuna jamii kama afro chinese hivi? Hata rais wao ana uchina flani
Shukrani mkuuWanaitwa Austronesians.
Wabongo bana na mambo yao ya kufikirika..enhee hebu tupe source yako ya information kama sio utopolo mtupu!Ethiopia na sampuli zake zote Asili yao mashariki,
Wamo djibout,erithrea na somali hata jamii ya tutsi.
Na wanafurahia sana kuhusishwa na jamii za ng'ambo.
Watu wa ajabu sana
Ethiopia ndio shina la binadamu wote walipotokea, Maana yake binadamu walianzia Ethiopia ndo wakatawanyika duniani. Soma kitabu cha gwiji Jared Diamond kinaitwa Gun, Germs and Steel
mkulungwa acha masihara watu wajifunzeMombasa.
Hawa Muhicans tunawaeka kundi gani hapo.Uko sahihi sana. Waafrika wanatofautiana sana
- Waarabu (wale wa Afrika kaskazini) bado ni Waafrika
- Nilotes (wa Daatoga, Wamasai, Wapokot na Wadinka wa Sudan)
- Hamites
- Bantu (Wamakonde, Wahehe, Wazaramo nk)
- Cushites (Waeritrea, Ethiopia, Wairaq wa Manyara nk)
- Khoisan (Wahadzabe, Wasandawe)
Hawa watakua wana asili ya Ethiopia tu, hakuna namna.
Duh hawa nadhani ni ukoo wa Shetani.Hawa Muhicans tunawaeka kundi gani hapo.View attachment 2317713View attachment 2317714View attachment 2317716View attachment 2317715
Uko sahihi sana. Waafrika wanatofautiana sana
- Waarabu (wale wa Afrika kaskazini) bado ni Waafrika
- Nilotes (wa Daatoga, Wamasai, Wapokot na Wadinka wa Sudan)
- Hamites
- Bantu (Wamakonde, Wahehe, Wazaramo nk)
- Cushites (Waeritrea, Ethiopia, Wairaq wa Manyara nk)
- Khoisan (Wahadzabe, Wasandawe)
Khoisan na wahadza ni vitu viwili tofauti mkuu. Khoikhoi na San nd wametoa Khoisan huko afrika kusini. Wahadzabe na wasandawe ni jamii tu za watu kale na Wana uhusiano wa karib kabisa na wafugaji kama manyema.Uko sahihi sana. Waafrika wanatofautiana sana
- Waarabu (wale wa Afrika kaskazini) bado ni Waafrika
- Nilotes (wa Daatoga, Wamasai, Wapokot na Wadinka wa Sudan)
- Hamites
- Bantu (Wamakonde, Wahehe, Wazaramo nk)
- Cushites (Waeritrea, Ethiopia, Wairaq wa Manyara nk)
- Khoisan (Wahadzabe, Wasandawe)
Kuna kitabu kinasema mtu wa mwanzo alitokea fraunkaten huko ASIAEthiopia ndio shina la binadamu wote walipotokea, Maana yake binadamu walianzia Ethiopia ndo wakatawanyika duniani. Soma kitabu cha gwiji Jared Diamond kinaitwa Gun, Germs and Steel
Unasemea Solomon islands? Hawa jamaa Wana blonded hair pia. Hawa hata India kusini Kuna kabila weusi tii kabisa Lakin Wana sifa hii. Mm nahis ni genetic driftHawa Muhicans tunawaeka kundi gani hapo.View attachment 2317713View attachment 2317714View attachment 2317716View attachment 2317715
Waliitwa mafarashaBaadhi ya waethiopia wana asili ya Uyahudi (Bèta Israel). Miaka ya 1980 - 1990 israel ilifanya operation ya kuwarudisha israel baadhi ya waethiopia. MFALME Haile Sellasie ni kizazi cha mfalme (nabii ) Suleiman mwana wa Daudi
Madagascar ni wahindi na waafrika jumlisha waarabNadhani hata wamadagascar