Wafadhili wa nini? - Hayati Rais John Pombe Magufuli

Jiwe, rais wa hovyo :-
1. Aliyeamini ktk maendeleo ya vitu na siyo watu.
2. Muasisi wa utekaji, uporaji na mauaji ya watu.
3. Aliamini kuwa mtu akiwa rais hapaswi kuiosolewa. Jinga kabisa.
4. Dikteta aliyekosa chembe ya huruma.
5. Aliminya haki za makundi yote kuanzia wakulima, wafanyakazi, wavuvi, n.k.

Kifo chake kilileta faraja na furaha kwa watu wengi.
 
Je Dkt Steven Ulimboka alitekwa awamu ya Magufuli?

Je unaweza kuwa na Maendeleo ya watu bila kuwa na Maendeleo ya vitu?
 
Kwa nini mnapenda kwenda ulaya na Marekani mkifika uko mnashangaa mkiangalia barabara za juu,majengo mazuri,treni za chini ya ardhi inayowawaisha kwenda kazini na kwenye biashara,ni suala la yai na kuku, Maendeleo ya vitu ni yai na Maendeleo ya watu ni kuku.
 
Jiwe, rais wa hovyo :-
1. Aliyeamini ktk maendeleo ya vitu na siyo watu.
2. Muasisi wa utekaji, uporaji na mauaji ya watu.
3. Aliamini kuwa mtu akiwa rais hapaswi kuiosolewa. Jinga kabisa.
4. Dikteta aliyekosa chembe ya huruma.
5. Aliminya haki za makundi yote kuanzia wakulima, wafanyakazi, wavuvi, n.k.

Kifo chake kilileta faraja na furaha kwa watu wengi.
Inawezekana na pengine ndio maana hakuweza kuendelea ngwe ya pili..kosa lake ni kupandwa kichwani na wajinga wachache aliowakuta hapo ikulu wakafaulu kumjengea chuki na vyama vya upinzani, wahisani, baadhi ya watu nje ya ccm, viongozi wa nchi jirani, baadhi ya viongozi wa dini na wengine..alikosea sana kukubali uongo huo! yeye ndiye aliondoka wao bado wapo, na wanafanya yale yale..lakini dhamira yake ilikuwa njema kabisa kuwainua watanzania KUJITEGEMEA..!
 
Jiwe, rais wa hovyo :-
1. Aliyeamini ktk maendeleo ya vitu na siyo watu.
2. Muasisi wa utekaji, uporaji na mauaji ya watu.
3. Aliamini kuwa mtu akiwa rais hapaswi kuiosolewa. Jinga kabisa.
4. Dikteta aliyekosa chembe ya huruma.
5. Aliminya haki za makundi yote kuanzia wakulima, wafanyakazi, wavuvi, n.k.

Kifo chake kilileta faraja na furaha kwa watu wengi.
Kifo chako kitaleta faraja na furaha kwa watu wengi.
 
Mwamba huyu hapa, ni jembe sana,alijenga 1.hospitals za kutosha
2. Barabaran za kutosha na fry over
3.Nidhamu makazini.
4.Ndege
5.Makao makuu Dodoma
6.Kutoa wenye vyeti feki
7.kuthibiti mafisadi
8.Kukataa mikataba ya hovyo eg Bandari.
9.Elimu Bure.
10.Alikuza utalii na kiswahili na mengine ongezea
 
Jiwe, rais wa hovyo :-
1. Aliyeamini ktk maendeleo ya vitu na siyo watu.
2. Muasisi wa utekaji, uporaji na mauaji ya watu.
3. Aliamini kuwa mtu akiwa rais hapaswi kuiosolewa. Jinga kabisa.
4. Dikteta aliyekosa chembe ya huruma.
5. Aliminya haki za makundi yote kuanzia wakulima, wafanyakazi, wavuvi, n.k.

Kifo chake kilileta faraja na furaha kwa watu wengi.
Bila sheria kali kama zile za China kwa majizi ya mali za Umma Nchi haitopata maendeleo ya kweli na yanayostahili hata kwa karne ijayo 🙄😳 !
 
Back
Top Bottom