Tueleze kidogo kuhusu ule uliokuwa uhusiano wa Jiwe, Bashite na Sabaya( utatu haramu) na mali anazomiliki Bashite na Sabaya. OverMagufuli alishazikwa. Hawa wanaotekwa na kuuawa baada ya kifo chake anawateka yeye?
siku hizi wanateka hadi ndani ya basi, achilia mbali Bakari Nondo aliyebebwa mchana kweupe stendi ya Magufuli.
Ukiwa na akili kidogo tu, utagundua kuwa Magufuli aliibadilisha nchi na kuimarisha huduma za jamii.