Uchaguzi 2020 Wafahamu baadhi ya Watia nia ya Ubunge wa CCM ambao hawakushinda katika kura za maoni lakini wamepitishwa kugombea katika majimbo yao

EL kipindi kile sio leo ,ccm haikua na sera mbaya za uchumi na maadui kila kona watu maisha yaliku yanaenda vizuri ukilingani na awamu hii kitendo cha kutukata majina yetu kita wacost nawaambieni
Mwaga ugali mkuu
 
Kama issue ya Patrobas Katambi inahuzunisha sana. Nafasi ya nne huko!!!!!!!

Tusikubali wajameni
 
Duh umeniacha hoi kama Kuna watu hawajajua wewe ni mpinzani pure na umeandika mada ili kushawishi waliokatwa wadhani na wewe umekatwa kweli Basi nawapa pole...Ila pambana kwenye siasa Kuna mbinu nyingi
Jina langu limekatwa na kikundi cha watu wanajiona wa ndio ccm ngoja tutaona matoke yake wengine sio waongeaji sana mimi ni mtu wa vitendo na nimwana ccm kitambo
 
Akili yako ndo imeishia hapo mkuu yaani imefunikwa na kutandwa na wingu la ukabila tu hauna hoja ingine.
 
Shinyanga Mjini hilo jimbo Chadema washindwe wenyewe, huyo Katambi 2015 alijaribu hapo Shinyanga akiwa CDM akakosa, naamini yule Masele lazima ana kinyongo.
Alikosa kwa kura ngapi mkuu. Chache sana.
 
Unamkata muadilifu kisha unampa nafasi mtu uliyemuita lijizi, lisaliti hii ni ajabu sana. Inaonekana kwako wewe ni ilimradi fedha iingie na siyo thamani ya utu. Kweli ilitegemea ulivyoamka!
 
Wadanganye tu.
 
Jina langu limekatwa na kikundi cha watu wanajiona wa ndio ccm ngoja tutaona matoke yake wengine sio waongeaji sana mimi ni mtu wa vitendo na nimwana ccm kitambo
Najimboni kwako ccm inashinda jimboni kwako.
Kama unaupepo nenda act au cdm kama utashinda.
 
Hiii wee nini[emoji23]
asiekubali kushindwa si mshindani Bro
Acheni kuwa obsessed na siasa haya ndo madhara sasa
Mbona tumeshinda vizuri tunakubalika kwenye majimbo yetu wajumbe wametupigia kura tumeshinda vizuri kikundi cha watu wachate wakakata majina yetu tukiuza rama tumekosea?
 
Najimboni kwako ccm inashinda jimboni kwako.
Kama unaupepo nenda act au cdm kama utashinda.
Kufanya nini ACT mimi mwana ccm kitambo hata kabla ujazaliwa tulia tungoje majibu ya uchaguzi huu
 
Duh umeniacha hoi kama Kuna watu hawajajua wewe ni mpinzani pure na umeandika mada ili kushawishi waliokatwa wadhani na wewe umekatwa kweli Basi nawapa pole...Ila pambana kwenye siasa Kuna mbinu nyingi
Tuolikatwa majini tusindoke kwenye chama letu la mizengwe tubaki bila password kisha tuone mwisho wake siwanajifanya wanjanja muda utaongea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…