Requal
JF-Expert Member
- Jun 5, 2020
- 1,025
- 1,917
wasira kapita?Wasira
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wasira kapita?Wasira
Ameteuliwa bwashee!Katambi vp
Unajidanganya bure.Yes naungana na wewe mwaFA na Kimei hao lazima watashinda. Ila Gwaji boy na Silinde kwishney mapema
Ukumbuke hizo kura sio za waumini mjomba.Unajidanganya bure.
Huyu Mdee mpeni ukatibu taifa wanawake Chadema hachomoki
Mwenye madegree yake anaweza kudondoshewa uDAS. Tanzania raha sana!Ally Kinanasi kapita Kyela
Inaelekea unapayuka tu wala hakuna ulijuwalo. Halima Mdee ni mwenyekiti wa Bawacha.Unajidanganya bure. Huyu Mdee mpeni ukatibu taifa wanawake Chadema hachomoki
kang'olewahata mi nasubili hii
Katambi kapeta Chief. Masele ilikuwa lazima alambe mchanga.Katambi vp
Kweli kabisa, Shinyanga mjini ishakuwa ngumu tayari, wacha tusubiri.Shinyanga Mjini hilo jimbo Chadema washindwe wenyewe, huyo Katambi 2015 alijaribu hapo Shinyanga akiwa CDM akakosa, naamini yule Nchambi lazima ana kinyongo.
Nchambi ni mbunge jimbo la kishapu sio shinyanga mjiniShinyanga Mjini hilo jimbo Chadema washindwe wenyewe, huyo Katambi 2015 alijaribu hapo Shinyanga akiwa CDM akakosa, naamini yule Nchambi lazima ana kinyongo.
Mtoa mada toka lini tunduma ikawa mbeya?Dar es Salaam
Jimbo la Kawe
- Askofu Josephat Gwajima
Tanga
Jimbo la Muheza
- Hamis Mwinjuma (Mwana FA)
Mbeya
Jimbo la Tunduma
- David Silinde
Manyara
Jimbo la Babati Mjini
- Pauline Gekul
Kilimanjaro
Jimbo la Vunjo
- Charles Kimei
Shinyanga
Jimbo la Shinyanga Mjini
- Patrobas Katambi
= Orodha zaidi inakuja hivi punde =
Pia Soma
= > Uchaguzi 2020 - Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
ChiniMwakyembe?
ili mradi ulete ubishiMtoa mada toka lini tunduma ikawa Mbeya? Tunduma ni jimbo lipo mkoa wa Songwe
Kimei atapita. Huyo silinde wamechemkaWanaoshinda hapo ni Kimei na mwana FA tu. Gwajima na Silinde hawashindi ata iweje na sababu ni kuwa wanagombea majimbo magumu sana yenye watu wagumu sana!!
ChiniHata mi nasubili hii
Kwani nilichosema ni uongo?ili mradi ulete ubishi