Uchaguzi 2020 Wafahamu baadhi ya Watia nia ya Ubunge wa CCM ambao hawakushinda katika kura za maoni lakini wamepitishwa kugombea katika majimbo yao

Suley2019,
Duh! CCM isipomegeka, nitashangazwa mno! Lakini yote haya harufu ya jiwe nje nje!😀ladha mbaya sana kwa ma CCM mengi.
 
Reactions: BAK
Shinyanga Mjini hilo jimbo Chadema washindwe wenyewe, huyo Katambi 2015 alijaribu hapo Shinyanga akiwa CDM akakosa, naamini yule Nchambi lazima ana kinyongo.
Nchambi ni mbunge jimbo la kishapu sio shinyanga mjini

Hapo alikuwa masele steven
 
Mtoa mada toka lini tunduma ikawa mbeya?

Tunduma ni jimbo lipo mkoa wa songwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…