Uchaguzi 2020 Wafahamu baadhi ya Watia nia ya Ubunge wa CCM ambao hawakushinda katika kura za maoni lakini wamepitishwa kugombea katika majimbo yao

Gwajima ana potential kubwa. Kimkakati hata mimi ningemuweka yeye.
 
Yule jangili wa Shinyanga kapiga au kakatwa?
 
Hivi ni macho yangu tu nimeona vibaya, au ni kweli CCM wamemchagua Gwajima kupigania jimbo la Kawe? Kama ni hivyo, basi watakuwa wameamua kuachana na jimbo hilo lichukuliwe na upinzani. Kwa maoni yangu, hata Paskali Mayalla aliyepata zero katika kura za mwanzo angetoa upinzani wa maana zaidi katika kinyang'anyio hicho.
 
Mbona gwajima kawauma sana!!?
 
Duh! ccm isipomegeka, nitashangazwa mno! Lakini yote haya harufu ya jiwe nje nje!😀ladha mbaya sana kwa ma ccm mengi.
Ona huyu nae sijui hangover inamsumbua we JPM ang'olewe na nani!?,.

Aye jipeni matumaini tu.
 
Mbona gwajima kawauma sana!!?
We chadema ya gwajima yanakuhusu Nini!?
 
Write your reply...kuanzia leo kanisani kwa gwajima siendi tena bora nirudi kwenye ukatoliki wangu wa zamani niliouacha
 
Influence, ndiye size ya Bi mdee.
 
Unajua aliyeshinda Kawe kabila gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…