Uchaguzi 2020 Wafahamu baadhi ya Watia nia ya Ubunge wa CCM ambao hawakushinda katika kura za maoni lakini wamepitishwa kugombea katika majimbo yao

Naona watoto wa wakubwa wa nchi wamepenyezwa kwa wingi nadhani lengo ni kuwaandaa na pia waendelee kula kimvulini
Wapo watoto wawili wa mzee Mwinyi
Wawili wa jakaya
Yupo mtoto wa pinda na wengine tu ukisikia jina unajua mulemule
Kawawa, Ditopile etc
 
Tatizo kubwa la bwana mkubwa na Masele lilianzia 2015 mwezi kama huu pale Masele kwa kushirikiana na Mgeja aliyekuwa M/kiti wa CCM kipindi hicho mkoa wa Shinyanga walipoendesha kampeni ya wana CCM kuwataka wasimdhamini JPM...
 
ACT watamchukua,
Exposure ya Bunge la Africa, Kijana Active.

Anahitajika kwenye kuandika barua za malalamiko.
 
Yani kwa Shinyanga mjini meza imepinduliwa vibaya mno.

Huyu jamaa akibaki CCM nameza kisu!
Kwani shida ni nini ngoja aje kisha mmpe nafasi akipita anakaa mwaka mmoja anarudi ccm tunampitisha tena wakati nyie mnsusa uchaguzi
 
Hata ningekuwa Mimi, yaani ukatwe kisa uligombama na Ndugai? Hiki ni kigezo Namba ngapi kwenye kanuni za CCM?
Kwanza angepitishwa na ccm Jimbo lilikua hatarini kwenda upinzani.Alitekeleza Jimbo akawa haonekani completely Jimbon kwa miaka mitatu,mikutano hafanyi,bungen hasikiki,sim hapokei anaandikiwa barua na chama hajibu.wananchi walishamchoka Sana huyu
 
Hana jeuri hiyo nakuthibitishia kwa asilimia Mia anakesi mbaya mno tena yenye ushahidi wa kuingiziwa mamilioni ya shilingi kwenye ac yake na aliyekuwa Rais wa Acacia yule anayeozea jela...
Rais yupi huyo?
Yule aliyelipa fine?
Mbona yuko poa na kateuliwa Njombe mjini?
 
CCM wamemfanyia uhuni....ila wajue jimbo linayeya...

Utampaje mtu kapata kura 2 ....!! afu wa kuja!!
Inauma aisee!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…