Taarifasahihi
Senior Member
- May 24, 2019
- 170
- 157
Anaozea jela wakati alishalipa 1.5b akaachiwa, na kapitishwa Leo ni mgombea huko kwao kwa tiketi ya ccm.!!Hana jeuri hiyo nakuthibitishia kwa asilimia Mia anakesi mbaya mno tena yenye ushahidi wa kuingiziwa mamilioni ya shilingi kwenye ac yake na aliyekuwa Rais wa Acacia yule anayeozea jela...