Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Acha kutengeneza uongo...Gk anakaa upanga ila sio wa kishua,mamake ni mwalimu...AY ndio choka vibaya mamake yupo Rockgarden Morogoro,sidhani kama ata alishawahi kumuona babake,babake alimkataa.
sio Jamal malinzi wa tff binamy
Malinzi wa cargo..sema ni mtoto wa nje aka mwanaharamu
nyoosha maelezo ay choka vibaya kivipi? wewe unampata kwa lolote ay?
Acha uongo ww, mama'ke GK Mama Kaihula alikua lectuler cbe na sio sekondary kama unavodai
Huo utajiri wa ukubwani na nyumba za kujenga kwa mikopo ya faidika hatuizungumzii humu. Tunaowazungumzia ni wale tsngu wanazaliwa hawajui kams miguu ya kuku na utumbo kule tandale ni mboga.
Acha kutengeneza uongo...Gk anakaa upanga ila sio wa kishua,mamake ni mwalimu...AY ndio choka vibaya mamake yupo Rockgarden Morogoro,sidhani kama ata alishawahi kumuona babake,babake alimkataa.
Huo utajiri wa ukubwani na nyumba za kujenga kwa mikopo ya faidika hatuizungumzii humu. Tunaowazungumzia ni wale tsngu wanazaliwa hawajui kams miguu ya kuku na utumbo kule tandale ni mboga.
Nadhani vigezo vinavyotumika ni kukaa Upanga na kusoma English medium Schools.Hizi ni story za vijiweni na kujifanya wanawajua watu,mtu kama mwanafa Upanga ni kwa shangazi na kasoma Kayumba wao wanamuita wakishua na Ay kapigika Ifunda Tech na akina snare leo anaitwa wa mboga saba wengi waliotajwa humu ni ma avarage Joes
Afu mbaya zaidi wanakaa kwenye nyumba za msajili afadhali wangesema huko Masaki,Upanga obey ni kwao!
Hapa tunazungumzia family za awa watu,wewe unaleta stress zako za kudodewa na tigo yako weekend hii....unataka kunishindanisha? acha kbs hii number
Kwa vile kasoma st. Naniliu tu ila kwao sio kiivyo miaka nenda rudi mpk anakua bado wanaishi jet.
na joti baba yake alikuwa balozi lakini wa hapa hapa mtaani kwetu
Tatizo ni hizo kaya unazoendekeza!.. sasa uongo wangu upo wapi wakati mi kanifunsisha gs pale huyo mwalimu illegal( jina lake maarufu enzi zile). Huko kwingine labda ilikuwa part time tu. Ila proffessionally ni mwalimu wa sekondari. Kwa kifupi alimfundisha mnyika pia gs pale tambaza. Inawezekana michongo ya kuingia kwenye siasa kapewa na kijana wake mnyika. Watu wanatoka kwa kujuana nchi hii si ccm si chadema wala udp
naicha hii namba siiwezi, mimi si mvuta bangi.
wewe ni loser.
Acha kutengeneza uongo...Gk anakaa upanga ila sio wa kishua,mamake ni mwalimu...AY ndio choka vibaya mamake yupo Rockgarden Morogoro,sidhani kama ata alishawahi kumuona babake,babake alimkataa.
Acha kutengeneza uongo...Gk anakaa upanga ila sio wa kishua,mamake ni mwalimu...AY ndio choka vibaya mamake yupo Rockgarden Morogoro,sidhani kama ata alishawahi kumuona babake,babake alimkataa.
Alimkataa baada ya kuzaliwa ama? Maana AY kazaliwa Ligula hospitali Mtwara na wakati amezaliwa na kuishi kule akiwa mchanga marehem babake alikuwa akifanya kazi Ofisi ya Mkoa a.k.a Mkoani kule Mtwara
Ha ha ha lol sijawahi kuishi kwenye tabu ktk maisha yangu tokea nazaliwa nimemkuta mzee yuko njema miaka hiyo hadi sasa hivi ndio usibonyeze na wala Mkopo haujui, na sijawahi kukaa kwenye nyumba za Serikali hizo msajili sijui nini huko.