Wafahamu Celebrities waliotoka familia bora

Acha kutengeneza uongo...Gk anakaa upanga ila sio wa kishua,mamake ni mwalimu...AY ndio choka vibaya mamake yupo Rockgarden Morogoro,sidhani kama ata alishawahi kumuona babake,babake alimkataa.

nyoosha maelezo ay choka vibaya kivipi? wewe unampata kwa lolote ay?
 
Hapa tunazungumzia family za awa watu,wewe unaleta stress zako za kudodewa na tigo yako weekend hii....unataka kunishindanisha? acha kbs hii number
 
Huo utajiri wa ukubwani na nyumba za kujenga kwa mikopo ya faidika hatuizungumzii humu. Tunaowazungumzia ni wale tsngu wanazaliwa hawajui kams miguu ya kuku na utumbo kule tandale ni mboga.

We una maneno hadi basi I wish nikuone lol...k lyin pia aliishi oysterbay wakati anasoma forodhani na riziwan
 
Acha kutengeneza uongo...Gk anakaa upanga ila sio wa kishua,mamake ni mwalimu...AY ndio choka vibaya mamake yupo Rockgarden Morogoro,sidhani kama ata alishawahi kumuona babake,babake alimkataa.

Nadhani vigezo vinavyotumika ni kukaa Upanga na kusoma English medium Schools.Hizi ni story za vijiweni na kujifanya wanawajua watu,mtu kama mwanafa Upanga ni kwa shangazi na kasoma Kayumba wao wanamuita wakishua na Ay kapigika Ifunda Tech na akina snare leo anaitwa wa mboga saba wengi waliotajwa humu ni ma avarage Joes
 
Huo utajiri wa ukubwani na nyumba za kujenga kwa mikopo ya faidika hatuizungumzii humu. Tunaowazungumzia ni wale tsngu wanazaliwa hawajui kams miguu ya kuku na utumbo kule tandale ni mboga.

Ha ha ha lol sijawahi kuishi kwenye tabu ktk maisha yangu tokea nazaliwa nimemkuta mzee yuko njema miaka hiyo hadi sasa hivi ndio usibonyeze na wala Mkopo haujui, na sijawahi kukaa kwenye nyumba za Serikali hizo msajili sijui nini huko.
 
Nadhani vigezo vinavyotumika ni kukaa Upanga na kusoma English medium Schools.Hizi ni story za vijiweni na kujifanya wanawajua watu,mtu kama mwanafa Upanga ni kwa shangazi na kasoma Kayumba wao wanamuita wakishua na Ay kapigika Ifunda Tech na akina snare leo anaitwa wa mboga saba wengi waliotajwa humu ni ma avarage Joes

Afu mbaya zaidi wanakaa kwenye nyumba za msajili afadhali wangesema huko Masaki,Upanga obey ni kwao!
 
Kuna O-ten nae alikuwa anajiita mtoto wa kishua kutoka upanga..wakati kwao ni Kigurunyembe Morogoro nyumba ya udongo....Wakati nasoma uko moro kitambo walikuwa wanakuja school kuimbaimba na kina Puzo mbwembwe kibao wanaongozana na mademu wa kitasha nini..Leo nikikutana nae ananikoma unamskia mwanangu unanikumbuka kafulia mbaya.
 
Hapa tunazungumzia family za awa watu,wewe unaleta stress zako za kudodewa na tigo yako weekend hii....unataka kunishindanisha? acha kbs hii number

naicha hii namba siiwezi, mimi si mvuta bangi.
 
Tatizo ni hizo kaya unazoendekeza!.. sasa uongo wangu upo wapi wakati mi kanifunsisha gs pale huyo mwalimu illegal( jina lake maarufu enzi zile). Huko kwingine labda ilikuwa part time tu. Ila proffessionally ni mwalimu wa sekondari. Kwa kifupi alimfundisha mnyika pia gs pale tambaza. Inawezekana michongo ya kuingia kwenye siasa kapewa na kijana wake mnyika. Watu wanatoka kwa kujuana nchi hii si ccm si chadema wala udp

mi binafsi mama kaihula kanifundisha cs cbe
 
Acha kutengeneza uongo...Gk anakaa upanga ila sio wa kishua,mamake ni mwalimu...AY ndio choka vibaya mamake yupo Rockgarden Morogoro,sidhani kama ata alishawahi kumuona babake,babake alimkataa.

Alimkataa baada ya kuzaliwa ama? Maana AY kazaliwa Ligula hospitali Mtwara na wakati amezaliwa na kuishi kule akiwa mchanga marehem babake alikuwa akifanya kazi Ofisi ya Mkoa a.k.a Mkoani kule Mtwara
 
Alafu pia uache kutengeneza uongo mamake AY alishafariki.
Huko moro lada aliishi baada ya kuachika na mumewe.

Na baada ya kuhama Mtwara waluhamia Dodoma ndipo alipokulia na kusoma huko Mazengo sec na wakati anaishi Dom walikuwa family friend na majirani na akina Uwoya.. thats y ni marafiki na uwoya tangu utotoni ingawa hawapendi kujishowoff.
 
Alimkataa baada ya kuzaliwa ama? Maana AY kazaliwa Ligula hospitali Mtwara na wakati amezaliwa na kuishi kule akiwa mchanga marehem babake alikuwa akifanya kazi Ofisi ya Mkoa a.k.a Mkoani kule Mtwara

Poa tusibishane basi.
 
Ha ha ha lol sijawahi kuishi kwenye tabu ktk maisha yangu tokea nazaliwa nimemkuta mzee yuko njema miaka hiyo hadi sasa hivi ndio usibonyeze na wala Mkopo haujui, na sijawahi kukaa kwenye nyumba za Serikali hizo msajili sijui nini huko.

Kwani we ni celeb au celeb wa humu jf... ndugu mbona unatuchanganyia mafile soma tittle vizuri.kuna aliye kuambia we ni maskini?
 
Back
Top Bottom