stata mzuka
JF-Expert Member
- Nov 25, 2012
- 4,834
- 1,759
Okay, I see...
So where are they right now? Wameweza ku-maintain the Masaki level au ndio zile za "Usinione nimechoka, nilikulia Masaki"...
He who laughs last laughs longer
Nimekujibu kutokana na majibu yako,,utajiri wa ukubwani sijui mikopo ya faidika yamekujaje? Msikariri mkitoka mikoani huko kuwa ukisoma English medium au kukaa majumbani ya msajili ndio wakishua!
hivi wewe ni nani mpaka uwe na taarifa za waliofariki? wewe ni rita?
Una uhakika Ay amesoma A level?
Huko mwabepande mlikojenga sikuiz kulikuwa porini utawaitaje wakishua wakati enzi hizo kulikuwa hifadhi ya taifa.. we baki huko porini kwenu mtoa mada kawazungumzia walioishi maeneo tajwa hapo juu na enzi hizo hao ndio walikuwa wakishua.
Huko mwabepande mlikojenga sikuiz kulikuwa porini utawaitaje wakishua wakati enzi hizo kulikuwa hifadhi ya taifa.. we baki huko porini kwenu mtoa mada kawazungumzia walioishi maeneo tajwa hapo juu na enzi hizo hao ndio walikuwa wakishua.
We kusema Gk Ay na FA ni wakishua,umeshapoteza haki ya kuchangia huu mjadala.
We kusema Gk Ay na FA ni wakishua,umeshapoteza haki ya kuchangia huu mjadala.
Mambo ya kudhani watu wakiishi Chole road au Upanga ni wakishua ni ya kizamani wengi walioishi huko wazaz walikua watumishi wa serikali na wengine walijisahau hata kujenga kiinua mgongo ndio wamejengea kimara maisha yanawapiga
Nyinyi mnaleta hadithi hapa washua wa zamani wanajulikana wazazi wa hao jamaa wangejulikana bila kutumia nguvu
Wote mko sahihi kiasi fulani ,Mama Kaihula,alikuwa mwalimu wangu Tambaza Sec.then nikakutana nae Morogoro mimi nikiwa forest hill yeye akifundisha Moro sec,akawa lecturer wangu CBE na sasa mimi ni shabiki wake CDM yaani kama kaletwa kwa ajili yangu kunipa maarifa vile mama huyu!Acha uongo ww, mama'ke GK Mama Kaihula alikua lectuler cbe na sio sekondary kama unavodai
na joti baba yake alikuwa balozi lakini wa hapa hapa mtaani kwetu
We kusema Gk Ay na FA ni wakishua,umeshapoteza haki ya kuchangia huu mjadala.
nikakutana nae Morogoro mimi nikiwa forest hill !
Teh teh teh kama we unavyolalamika foleni huko Mbezi unafikiri wote ndo tu nakaa huko? huko Mbweni anakaa mzee kila week end naenda kumsabahi mi niko bado town nashkuru kwa Mungu alijenga mijengo mingi hapa jijini hakucheza Golori enzi za ujana wake so,now nakula pension tuu.
Ndio nimekuuliza wakishua wanakaa kwenye nyumba za msajili za WATANZANIA walipa kodi? Sasa hivi wapo wanahangaika kupanga ubavu bonyokwa kwenu huko!
Hadithi ndio linalofanya jukwaa lijadiliwe anayeona hadithi hazimfai nashangaa anafata nini huku... aijalishi ni national housing au ya serikali as long as wameishi maisha ya kishua ndio lengo la mleta mada na hata si kujadili financiak position yao ya sasa wengi mnavyodhani na kujifanya mnaelewa sanaa topic.
Samahani mleta uzi kama takukwaza kwa hili!! Ila kwa mtiririko wa maelezo hapo juu haihitaji uwe na elimu ya darasa la Saba' hata chekechea anaejua kusoma anaweza kujua yupi anakimbia na mambo na yupi anafaham anachokisema. Pia yupi anatumia akili na yupi anatumia bange' nihayo tu!
Kuja tutakuja tu kuchangia lakini sio kuudanganya umma kuwa kusoma English medium au kukaa msajili ndio wa kishua hapo ndio tunapotofautiana!
Mimi ndo mleta uzi, una tatizo gani na mim? Naona unatak kuniviruga, usijaribu kuamsha mizimu yangu aiseeh, nishasahau habar za ban